Recent content by diana abela

  1. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta printer Epson L800 Dar es Salaam

    Ahsante! Nitajaribu kwenda tena kuuliza Miezi miwili iliyopita nilienda hapo Nimetafuta sana kwenye hayo maduka ya Wahidi Kariakoo lakini nakuta wana L805 kila duka maana wanadai L805 ndiyo toleo jipya badala ya L800 ila mimi kwa kuwa nilishaitumia L800 na nikaiamini utendaji wake ndiyo maana...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta printer Epson L800 Dar es Salaam

    Nahitaji pri
  3. D

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mfanyakazi wa stationary - Dar es Salaam

    Ok! UKo mwenge maeneo gani au mtaa upi? nielekeze
  4. D

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mfanyakazi wa stationary - Dar es Salaam

    Anahitajika
  5. D

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Tume ya Maadili yakubali mashitaka dhidi ya Paul Makonda

    Ukiona mwenzio anakula na wewe tengeneza jitihada zako kutafuta kula kwako usitengeneze jitihada nyingi kumwaga ugali wa mwenzio Kila mtu kazaliwa na nyota yake, hata mkizaliwa mapacha mkafanana sura ila roho zenu zitatofautiana Maana naona watu wanakesha Bashite, Bashite too much, Wakati...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa Clouds: Kamati ya Nape yamjibu Dk. Mwakyembe

    Sawa pengine Clouds hawakutendewa haki, lakini kumbuka kabla ya Nauye kupata maelezoya Mkuu wa Mkoa kuwa alienda pale kufanya nini? na tatizo ilikuwa ni nini? alitamka kuwa Kitendo alichafanya Makonda ni Kama kuhinajisi tasinia ya Habari na kumbuka kauli hii aliitamka kabla ya mlalamikiwa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa Clouds: Kamati ya Nape yamjibu Dk. Mwakyembe

    Haraka haraka ndiyo iliyowaponza Yaan kamati nadhani iliundwa huku ikiwa na majibu tayari maana kabla ya kamati kutoa taarifa tayari vyombo vya habari vilishatangaza kutoandika habari za Mkuu wa mkoa (inamaanisha majibu yalitoka kabla ya uchunguzi)
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

    Nabii wa kweli tutamtambua kwa matendo yake IMEANDIKWA " Ndiyo,’ yenu iwe ‘Ndiyo’ na ‘Hapana’, yenu iwe ‘Hapana.’ Lo lote zaidi ya hili latoka kwa yule mwovu.’’ " akikupiga kwenye shavu la kuume, mgeuzie na la pili pia" (MATHAYO 5:31-39) Kwa kutumia kifungu hiki tu unatambua yupi mtumishi wa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuzimia kwa dakika chache linatokana na nini?

    Ndugu zangu naomba msaada wa ushauri au tiba kwa anayejua Ninaye kaka yangu, tangu akiwa mdogo hakuwahi kupatwa na tatizo la kuzimia Tatizo ili limejitoka kwa mwezi huu imetokea mara mbili, na yeye anasema hajihisi kuumwa sehemu yoyote tatizo hili linamtokea akiwa anaendelea na shughuli zake...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Sumaye adai amepata taarifa ya kutimuliwa nyumbani kwake pia

    Si ulienda upinzani kutetea wananchi? Sasa kwa kuwa unawapenda sana wananchi acha wawape ardhi waishi
  11. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya stationary

    S Sawa
  12. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya stationary

    Mshahara ni Mshahara ni maelewano maana siwezi nikasema msharaha kiasi gani kabla sijajua kazi iko eneo gani na majukumu gani ya kazi labda hiyo hadi kuongea na mhusika
  13. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya stationary

    Nafuta kazi ya stationary au kwenye ofisi yoyote Elimu: form IV na pia nimesomea computer kama:- ms word,excel,publisher,PowerPoint,internet na adobe photoshop Uzoefu::3yrs nikifanya kazi hii ya stationary Simu:0675326247 Naishi Tegeta kama mtu unahitaji au kuna sehemu umesikia tuwasiliane Na...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya stationary

    Utapata ndugu
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    ni shidaaaa!!
Back
Top Bottom