NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA
Taasisi ya fedha ya Mikopo Finance Limited iliyopo Dar es Salaam inatangaza nafasi za kazi za kujitolea katika nafasi Ifuatayo; Ofisa wa kukusanya madeni (Recovery Officer)-Nafasi tatu (3) Kazi kuu ya Afisa itakuwa kumsaidia Afisa mikopo kukusanya marejesho ya mikopo kutoka kwa wadaiwa wetu. Maombi yatumwe katika email Ifuatayo; hr@mikopofinance.co.tz
MIKOPO FINANCE LIMITED
P.O.BOX 15297
DAR ES SALAAM
www.mikopofinance.co.tz
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 12/02/2015