Natafuta kazi ya stationary

diana abela

Member
Apr 9, 2014
33
10
Nafuta kazi ya stationary au kwenye ofisi yoyote
Elimu: form IV na pia nimesomea computer kama:- ms word,excel,publisher,PowerPoint,internet na adobe photoshop
Uzoefu::3yrs nikifanya kazi hii ya stationary
Simu:0675326247
Naishi Tegeta
kama mtu unahitaji au kuna sehemu umesikia tuwasiliane
Na kwa wale wakuchezea namba za simu samahani
 
Nafuta kazi ya stationary

MKUU WATAKA MSHAHARA KIASI GANI?
TUANZIE HAPO LABDA TWAWEZA PEANA MAARIFA.
 
Mshahara ni
MKUU WATAKA MSHAHARA KIASI GANI?
TUANZIE HAPO LABDA TWAWEZA PEANA MAARIFA.
Mshahara ni maelewano maana siwezi nikasema msharaha kiasi gani kabla sijajua kazi iko eneo gani na majukumu gani ya kazi labda hiyo hadi kuongea na mhusika
 
Nafuta kazi ya stationary
Elimu: form IV na pia nimesomea computer kama:- ms word,excel,publisher,PowerPoint,internet na adobe photoshop
Uzoefu::3yrs nikifanya kazi hii ya stationary
Simu:0675326247
Naishi Tegeta
kama mtu unahitaji au kuna sehemu umesikia tuwasiliane
Na kwa wale wakuchezea namba za simu samahani

Tuongee kwa e-mail developers@grabcityinfo.com, nina kazi moja nadhani utafanya vizuri kulingana na elimu yako ya computer.

Pia pita kwenye hii mobile app HAPA uone kazi unazotaka
 
Back
Top Bottom