Ushauri nauchukua ila mnachozingua ni kama kitu nilichofanya haki exist hii dunia, yaan kama mimi nimekosea sana mpaka kuitwa ng'ombe?
Labda niulize kulikua na ubaya gani mtu kushauri tu kwamba hapo umekosea acha au Fanya hivi ili iwe hivi? mtu anakuja ooh wazazi sijui wanapoteza hela kwamba...
Moja ya jukumu la msingi la mzazi ni kusomesha, nichukulie kama ng'ombe lakini wazazi wako proud na mm kuwa chuo kikuu coz wanaona many kids mazingira ya home ambao tulianza wote primary wakiwa hawajafika level hii so mapenzi yasikufanye uone mzazi anapoteza hela na ilihali kitaaluma sizingui.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.