Recent content by Devohand

  1. D

    Vitabu bora sana vinavyoweza kubadilisha maisha yako

    nmeona vitab vingi mara sjui biblia mara sjui rich daddy ila dah kwakweli Holly Quran ni kiboko yao maana kila unapokwenda kwenye utabibu kwa maswala ya kiroho au ya kimwili lazma wakitumie kwakweli ....Quran kiboko ya vitab vyote
  2. D

    Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

    na inawezekana mumewe akawa ana hela za kutosha ila sio handsome
  3. D

    Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

    nasubiri coment za wale wanaosema uhandsome ni pesa au kujituma
  4. D

    Wanaume ndio wengi wanaosindikizwa na wake zao hospitalini kuliko wanawake wanaosindikizwa na waume zao

    vp tulianzishe timbwiru maana hamridhiki mpama mkashifu iman za wenzen ,,uzi ulianza vzr ila hamfurahii mpk muanze kuwabedha wenzen
  5. D

    Uliwezaje kuukubali ukweli kuwa sasa wewe ni mtu mzima? Bado sijui nimefikaje gorofa ya 30!

    dah dogo ata mm nlisemaga hivyo vivyo hapa nagonga 32 sina hata kitanda nalalia godoro la 60 tsh ,,tunaambiwa wanawke ni weng kuliko wahanaume ila mm nimeambulia kua pekee yang sasa sijui haliehisabu aliwahisab wanawake wa wapi kwakweli..
  6. D

    Uliwezaje kuukubali ukweli kuwa sasa wewe ni mtu mzima? Bado sijui nimefikaje gorofa ya 30!

    mkuu nlipoanza kushtuka kua jua limeshazama kiupande wangu baada ya kumtongoza dada mmoja under 25 maana si kwa shikamoo zile ,,kwakweli nlikua na mawazo sana na ndipo nlianza kufanya mlinganisho wa kiumri na baadhi ya watu kwenye mitandao kwa kupitia google kimuonekano najiona bado chali ila kw...
  7. D

    Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

    ndo nashuka boti saiv hapa natoka znz kuingia dar hakuna tsunami wala nyangumi mamlaka ya hali ya hewa msitutie presha kwa uongo wenu
  8. D

    Wageni huweza kuungana kuwakabili wenyeji walioparanganyika na kuwashinda

    kaka ni ngumu maana tayar tumeshazaana na nyinyi mm nna familia kamili huku na nimekuja kama ni mzalendo wa nchi yangu chuki sio kikwazo ,,karibu tanga wapemba tunjazana huku
  9. D

    Safari ya kuishi au maisha unaamua wewe ila kusikindikizwa wanaamua watu

    dah kweli mkuu maana weng safar zao zilijaa visasi ,,utapeli ,,ujambaz na uzinz matokeo yke anaondka dunia kwenye mfumo wa kulaumiwa na walimwengu
  10. D

    Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

    natoa ushughuda ni mwaka tu sasa tangu nifungue bisahara yang ya chakula mkoa fulan hivi ,,,nakumbuka nililetewa habar na mwamba means mshkaj wangu kua aliskia tetesi wakat yupo bar watu wananijadili kua huyu jamaa amewezaje kuisimamia buashara yke mpka muda huu maana weng wanakuja wanakaa wiki...
  11. D

    Usinunue kiwanja Temeke au Mbagala kama wewe hupendi uswahili, utajuta!

    wanakwambia miguu ya kuku jero chango za kuku jero firigisi moyo na figo jeroo mixer pilipili nyembamba pemben utanambia nini inifanye nihame temeke nihame shika adab yko wewe
  12. D

    Ushauri: Anataka akafanye kazi za ndani (house girl) Uturuki

    dah jamiiforum kweli kiboko,, nna manzi yangu soon anaenda oman kikaz sasa alinambia nimpatie ushauri ,,,nmekaa nkafiikiri kuwaza na kuwazua nkaamua njitose JF kwakweli baada ya kuona haya madini nmefurahis sana wacha nkamshauri
  13. D

    Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

    dah mwamba una pesa mpka sasa umeshindwa kuizungushia dah aisee
  14. D

    Sihitaji matatizo na TCRA, hizi siku chache zilizobaki wacha nizitumie vyema

    dah ntawamiss sana wale wote wanaonipa furaha mia khalifa pink de ass step mom bigg tityy titty f**k mom got boobs dah ila sio fair kabisa tcra
Back
Top Bottom