Kama vile Kupaaa kumgundua m2 mbaya au mzur na kujuwa ki2 kabla m2 ajaongea pia Ku control vi2 kama maji ivo vyote nafanyag ndotoni nauwezo wakufany chochot kule tofaut na huku nataman cku moja nifany mambo ya ndotoni kweny ulimweng huu
Mkuu naweza kusema hayupo kwasabab
1 Mungu angekuepo nisinge mjuwa kwa imani
2 kwa nini tunasumbuli na vi2 ka magonjwa mwilini mwe2 ilihali Mungu yupo
3 uyo Mungu angekuepo tunge mjuw pasipo kupitia wa2
4 uyo Mungu kwanini tumjuwe kiugumu ivi
Mkuu Mungu kaniumba wakat anajuwa kabisa mm...
Na inachukua siku ngapi mkuu kuwa na uwezo kama uwo ulichukua cku ngap kujifunza mpaka hapo na ulijifunzia wapi
Majib tafadhal
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante Sana Rakims nitaendelea kumeditate na kila step ambayo tafika nitakuletea mlejesho wangu kwamba nimefikia wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio imenitokea nilihisi mdudu kunitembea nikajikuna je nilikosea kufanya ivo
Naitaji kujuwa pia nivumilie na maswali yang
Sent using Jamii Forums mobile app
Rakims ivi kuna dalili zozote ambazo unaweza kuzijua kama third Eye inaanza kuwa awake dalili za mwazo zipoje
Naitaji kujuw tafadhal
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.