Recent content by devis20010726

  1. devis20010726

    Je, ni kweli unaweza kupata internet bure kwa kutumia VPN Proxy?

    Eti inawezekana kuenjoy internet access bila kununua bundle??
  2. devis20010726

    Je, ni kweli unaweza kupata internet bure kwa kutumia VPN Proxy?

    Wadau wa JamiiForums eti inawezekanaje mtu kutumia mtandao free bila bando... Kuna wanaosema wanatumia free intanet kwa kufanya ujanja kwa kutumia VPN proxy me nikaona niwashirikishe waungwana usikute nimepigwa.
  3. devis20010726

    Mwanachuo anafaa zaidi kufungua akaunti katika benki gani?

    sawa hivi ndo ipo NMB pekee au kuna institution nyingine yenye CHAP CHAP?
  4. devis20010726

    Mwanachuo anafaa zaidi kufungua akaunti katika benki gani?

    Habarini za mchana waungwana wa JamiiForums. Naomba msaada, ninatarajia kufungua akaunti ya benk mimi mwanachuo Je, akaunti ya benk ipi nzuri kwa wanafunzi?
Back
Top Bottom