Hakuna tafsiri ya neno'' msukule'' kwa kingereza maana msukule ni mtu aliechukuliwa kichawi watu wakaamin kuwa Fulani kafariki kumbe yu hai. Ndo maana wabongo tukaita hivyo. Wenzetu wazungu hawana misukule ndo maana neno hili halipo in English!!!!
Kwanza tambua kuna uraia wa aina tatu
1:uraia wa kuzaliwa.
Mama na baba au ukoo kwa ujumla ni wazawa.
2:Raia wa kujisajili. Mtu kutoka nje ya nchi na akaomba uraia akasajiriwa kwa vigezo maalumu.
3:Uraia wa kurithi.
Mfano wewe,ukaenda kukaa America na mkapata mtoto/watoto ,huyo mtoto/watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.