Recent content by Deusdedith Boniphace

  1. Deusdedith Boniphace

    Majibu kwa walioomba application awamu ya pili NACTE yatatoka lini?

    Yaan wew ushapata chuo so we fany mawasiliano nao tu
  2. Deusdedith Boniphace

    Diploma kwenda degree 2016

    Watu wanajadili crucial points kuhusu maisha then we unadomoa tyu kile unachojickia !!! If you don hav something to say about da above topic pls shut up ua mouth: acha watu wanaohis hii mada inawagusa wajadili
  3. Deusdedith Boniphace

    Diploma kwenda degree 2016

    Huyu mdada msimshangae sn huenda thinking capacity yake n ndogo ujue unaweza ukasoma mpaka master's still ukawa hujui jinsi ya kuishi,kusema na watu !!! Hata hvo c kila alieko kweny hii forum kasoma zas y even her comments has no fruits
  4. Deusdedith Boniphace

    NACTE yatoa majina ya waliopata nafasi ya kujiunga na vyuo ngazi ya cheti na stashahada 2016/2017

    Wakuu naomben ufafanuz!!!! Nimechek now nacte wamefungua lakn nikichek n kwa ajili ya astashahada na stashahada je kwa watu waliotoka dip kwenda degree mbona cjaona jaman pls naomben nijue
  5. Deusdedith Boniphace

    Naomba msaada kwa hili wadau

    Naomba ufafanuzi juu ya kuomba vyuo!! Nimemaliza dip mwak 2014 na overall GPA yang ni 3.7. Nishaomba mkopo Loans Board. Kama nijuavyo kwetu sisi tuliomaliza dip tunafanya maombi kupitia NACTE lakini NACTE walishafunga.Vipi naweza omba kupitia TCU au baadae NACTE wataruhusu tena watu kuomba?
  6. Deusdedith Boniphace

    Jaribuni kuwa waelewa jamani, G.P.A ya 3.5 ni ya wanaotaka kwenda vyuo vikuu

    Sasa wadau hii thread m nimeielewa bt naomb ufafanuz m Nina GPA 3.7 na nimeomba mkopo tayari! Sasa swali lang liko namna hii " diploma wanaombwa kuapply kupitia nacte na nacte tayari walishafunga udahili je hawa watu watafuangua tena au naweza tyu kufanya kupitia TCU
  7. Deusdedith Boniphace

    Kuna uwezekano wa kuedit fomu ya kuomba mkopo?

    Hyo had uwacheki loan bod wenyewe na kuhusu tarehe ya mwisho ni the 31/07
Back
Top Bottom