Recent content by Deule

  1. D

    Moyo kuuuma.

    Vipi ulishaenda hospitali?Linaweza kuwa ni tatizo la moyo,lakini inawezekana pia lisiwe tatizo la moyo.Magonjwa mengi yanaweza sababisha maumivu kifuani.Kama bado hujapata msaada wa daktari,niandikie pm nitakusaidia.Unaweza kuniandikia namba zako za simu kwenye pm pia,halafu nitakupigia na...
  2. D

    Muhimbili: Mwandishi ajifanya mgonjwa, nusura apasuliwe tumbo

    Daktari anatakiwa kumpasua mtu kwa speculation?Ndiyo swali lako hili sivyo? Nimeshalijibu katika post zangu zote,isipokuwa labda hatuelewani.Baada ya daktari kuchukua historia na kufanya physical examination,kama mwandishi(mgonjwa)alikuwa na dalili za acute appendicitis,lakini kipimo cha...
  3. D

    Muhimbili: Mwandishi ajifanya mgonjwa, nusura apasuliwe tumbo

    Najadili mwandishi aliyejifanya mgonjwa.Hiyo case nyingine ingependeza kama ungeianzishia uzi wake,ili tusichanganye mambo mengi kwa wakati mmoja
  4. D

    Muhimbili: Mwandishi ajifanya mgonjwa, nusura apasuliwe tumbo

    Nimekuwa nikijibu swali lako tangia post yangu ya kwanza katika uzi huu.Kupasua siyo kwa ajili ya kutibu tu.Kuna diagnostic surgeries pia kama nilivyoeleza kwa kirefu kwenye post zangu za mwanzo.
  5. D

    Muhimbili: Mwandishi ajifanya mgonjwa, nusura apasuliwe tumbo

    Tuendelee kuelimishana mkuu!
  6. D

    Muhimbili: Mwandishi ajifanya mgonjwa, nusura apasuliwe tumbo

    Kiranga;sijui nielezee vipi mpaka unielewe.Narudia tena-upasuaji unaweza kuwa wa kutibu au wa kutafuta chanzo cha ugonjwa na kutibu.Kwa cases za acute abdomen including hiyo appendicitis,upasuaji wa namna hii unaweza kufanyika popote pale hata kama vipimo kama ultrasound vinasoma negative.
  7. D

    Muhimbili: Mwandishi ajifanya mgonjwa, nusura apasuliwe tumbo

    Kama nilivyosema,jaribu kupitia somatoform disorders na management yake.Dalili huwa ni za kweli kabisa na mgonjwa hadanganyi.Lazima daktari afanye/aagize vipimo kuondoa uwezekano wa organic diseases.Kumbuka pia kuwa surgery inaweza kutumika kwa diagnostic purposes. Lakini hivi vipimo si kila...
  8. D

    Muhimbili: Mwandishi ajifanya mgonjwa, nusura apasuliwe tumbo

    Kiranga:Daktari alishachukua historia ya mgonjwa na kumfanyia physical exams tokea mwanzoni.Akawa na differential diagnosis tayari ikiwemo appendicitis kwenye list,akaagiza vipimo vya kiuchunguzi zaidi kama lab tests na hiyo ultrasound. Majibu ya ultrasound yalikuwa negative kwa appendicitis...
  9. D

    Muhimbili: Mwandishi ajifanya mgonjwa, nusura apasuliwe tumbo

    yes naitetea. majibu ya ultrasound ni negative lakini huyu simulated patient bado anaendelea kulalama na maumivu makali.Daktari anaamua kumfanyia tena physical exams probably rebound tenderness/blumberg sign ni positive,location ya pain ilipoanzia na kuja ku settle na severity yake ni suggestive...
  10. D

    Muhimbili: Mwandishi ajifanya mgonjwa, nusura apasuliwe tumbo

    Kwamba upasuaji unaweza ukafanyika hata kama majibu ya ultrasound ni negative na hakuna udaktari wa kutumia vifaa tu popote pale hapa duniani.Nisome vizuri kwenye ujumbe wangu wa mwanzo.
  11. D

    Muhimbili: Mwandishi ajifanya mgonjwa, nusura apasuliwe tumbo

    Kiranga;usibishe kwa hili kwani jamaa wako sawa.Pamoja na matatizo mengi yanayoikabili sekta ya afya bongo lakini kwa hili Madaktari wako sawa na nitawatetea. Appendicitis usually inakuwa diagnosed kutokana na historia inayokusanywa vizuri na daktari kutoka kwa mgonjwa na physical...
  12. D

    Vipi Mambo?:Kichaka na Mkwere....

    mkuu-naomba ufafanuzi kuhusu part ya maswali na majibu,je yalikuwa kavukavu au waheshimiwa walipewa kabla hayo maswali?najua part ya mwanzo iliandikwa kabla. Otherwise swali kuhusu Obama-JK amelijibu vizuri sana.
Back
Top Bottom