Recent content by detha ernest

  1. detha ernest

    nahitaji marafiki

    hapana ila tu natoa tahadhari maana ni kitu ambacho sipendi
  2. detha ernest

    nahitaji marafiki

    ok thanx
  3. detha ernest

    nahitaji marafiki

    habari zenu wanajf? Nahitaji marafiki wa jinsia zote ,mi ni mwanamke,wasiwe na lugha chafu.
  4. detha ernest

    Hospitali nzuri mwanza

    nenda bugando tu dr kilonzo huwa anabei labda kama unatumia bima ya afya na pia hata dr kilonzo akishindwa anakwambia uende bugando sasa ni bora uende bugando tu
  5. detha ernest

    Kuyafanya Meno Yenye Rangi Kuwa Meupe (Teeth Whitening)

    kata tango uweke machoni vipande vyembamba vya duara
  6. detha ernest

    Msaada: Uvimbe wa wanawake kwenye kizazi

    asante ndugu nitazingatia hilo
  7. detha ernest

    Msaada: Uvimbe wa wanawake kwenye kizazi

    asanteni wote kwa ushauri leo nilimtembelea doctor wa wanawake na nikamweleza kila kitu akaniambia itakuwa appendex nimepatiwa dawa nimeambiwa nirudi next week.japo nashindwa kuelewa kama ni apendex kwanin niumie nikiwa period na nikimaliza tu
  8. detha ernest

    Msaada: Uvimbe wa wanawake kwenye kizazi

    asante leo nimemtembelea doctor wa wanawaek huku arusha nikamwelezea kila kitu akaniambia kuwa inaweza kuwa ni appendex nimepimwa mkojo kisha nikapatiwa dawa nimeambiwa nirudi next week
  9. detha ernest

    mgeni

    asante sana
  10. detha ernest

    Msaada: Uvimbe wa wanawake kwenye kizazi

    jamani msaada wenu unahitajika maana naumia sana
  11. detha ernest

    mgeni

    asante
  12. detha ernest

    mgeni

    asante sana ma dear
  13. detha ernest

    Msaada: Uvimbe wa wanawake kwenye kizazi

    Jamani naomba msaada kwa anayejua,mimi nina tatizo la uvimbe kwenye kizazi nilijua hivyo baada ya kuwa nasikia maumivu kuanzia ninapoanza period mpaka namaliza nikaamua kwenda hospital ndio wakaniambia nina uvimbe ,niliandikiwa dawa nikamaliza lakini nikaendelea kusikia maumivu,nikaamua kutumia...
  14. detha ernest

    mgeni

    habari zenu mi mgeni huku nipokeeni kwa mikono miwili jamani
Back
Top Bottom