Recent content by Desire mobutu seseseko

  1. Desire mobutu seseseko

    Ifahamu: Mzumbe Special School and The So called THE TOP FIFTEEN 15)

    Mkuu naomba nikutambue aisee kipindi hiko sisi ndio tulianzisha mgomo huo, tukiwa form five, form 6 watarajiwa, EMILY MAYANI, ALI NGUA, PASCAL AKA AGUERO, ADO NYOTOKA,
  2. Desire mobutu seseseko

    Ifahamu: Mzumbe Special School and The So called THE TOP FIFTEEN 15)

    Ukimya mkuu ilikua tarehe 29 May 2013 niko form 5 hapo usiku usiku siku kabla tulikaa kikaa kikao na Njawa na cabinet yake hadi asubuhi wakaishia kututukana tu na HP wetu EMILY MAYANI. nakumbuka mengi sana Hakika sisi ni Wazumbe
  3. Desire mobutu seseseko

    Ifahamu: Mzumbe Special School and The So called THE TOP FIFTEEN 15)

    Oyaa ni kweli kabsa bizo, nimesoma kipindi hiko cha kina Mnubi Simba, tumekula sana ngama, nyuji piia tumepiga sana maso, me nilikua mtu wa Chatuzone, nimekaa Mkwawa 4 pale karibu na kwa mwalimu Temba, baada ya mgomo 2013 tukabadllishiwa mabweni nimekaa Karume 6 , Determination is our Motto.!
  4. Desire mobutu seseseko

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kaka lina amekuja kuliwa na mwanangu mimi green city kwa laki 5 kagharamiwa flight chakula na hotel , na tumekunywa nae sana pombe ila mwana akapiga chini japo demu alifall kwa mwamba sema jamaa analalamika demu ana vizinga balaa mara elfu 70 anunue umeme sjui nni jama akapiga chini, na jamaa...
  5. Desire mobutu seseseko

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huu uzi bado unatamba aisee noma sana
  6. Desire mobutu seseseko

    Unaruhusiwa kuomba kazi taasisi nyingine baada ya kuajiri halmashauri hivi karibuni?

    uha uhamisho si hadi nipate nafasi sehemu ingine? nahama vipi sjui nahamia wapi?
  7. Desire mobutu seseseko

    Unaruhusiwa kuomba kazi taasisi nyingine baada ya kuajiri halmashauri hivi karibuni?

    Wakuu habari!! Kuna taasisi imetangaza kazi vigezo ninavyo na ni professional yangu kabisa sasa naomba kuuliza hivi inawezekana kuomba na kupata kazi kwenye taasisi nyingine kupitia utumishi baada ya kupata kazi hivi karibuni katika halmashauri flani?
  8. Desire mobutu seseseko

    Uchumba wa muda mrefu umenichosha

    Duuh uchumba uliokubuhu..yaani sio sugu.. umekomaa kabsa.. yan kama mtoto tayari yupo darasa ya sita saivi 😂😂🙌🙌🙌
  9. Desire mobutu seseseko

    Happy sabbath, Dini ya kweli ni sabato

    Hi dini ilianzishwa na malaya muhuni moja..unasema ndio dini ya kweli???
Back
Top Bottom