Nakuona kama mwendawazimu vile. Niliachiwa jimbo na cuf na cdm hawakusimamisha mgombea. Joka la kijani likatumia hila zake wakanichakachua jimbo..mpaka leo nina evidence mkononi.
Mafisadi ndo waliwekeza kuniangamiza mimi kama Kafulila sijapoteza kitu na waliodhulumiwa ni wapiga kura.
Leo hii...
True big up ukawa endeleen kudumisha umoja huu msirud nyuma maana ccm inatafuta jinsi ya kusambaratisha umoja huu
Changamoto ni sehemu ya maisha na inatoa fundisho kuona wapi hapakuwa vizur ili kupaimarisha
Naunga mkono mada
Maccm msidhan CHADEMA tutarud nyuma hakuna kulala
Na sikilizia bunge la awamu hii
Makofi ya ndioooooo ya ccm yataisha tu miswada na bajet zipitishwe kwa mchanganuo/anaysis ya kutosha sio kukurupuka na kupiga makof ovyoovyoooooo
Big up wapinzan
Bungen muwe makin wananchi tumechoshwa na ndioooo za ccm kupitisha miswada na bajet umakin unahitajika ili wananchi wafaidike na rasimal za nchi
Najua upinzan tumechagua watu makin watakaosimamia rasilimal ya nchi
Tunawatakia kika la her wabunge wetu wa upinzan
Yap point mtanzania mwenzangu mwanamabadiliko
Sasa imetosha kwa upuuz ambao tumefanyiwa
Wanapigania tu matumbo yao huku wananchi wakifa kwa kukosa huduma bora
Mahospital hakuna hata panadol
Wagonjwa wanalala 3-4 kwenye kitanda 1 huku viongoz wachache wakutunyonya kodi na rasilimal za watanzania...
Hapo sasa
Wengine tulikesha kituon hadi asubuh ili tujiandikishe
Kura ni lazima zilindwe hadi kieleweki kama ni sheria tutazifuata kwa kukaa mita 200 toka kituo cha kupigia kura
This time hatuchakachuliwi hadi mbichi na mbivu zijulikane
Angalau umezungumza point nimeipenda tukazane tupate wabunge weng wa upinzan, wabunge wa ccm wao ni kupiga makofi na kusema ndiooooo tunaunga hoja mkono bila kufikiria athar zake
Hapa ni mabadiliko tu tusifanye kosa mwaka huu
Ccm out tuwaachie wapinzan nchi nao tuwaone uwezo wao
Masisiem...
Naona upelekwe mirembe upo sawa kwel?ndio maana mliamua kuwavalisha hao vichàa wenu tshirt za cdm wakafanye fujo wakijifanya wafuasi wa cdm.hapo bado mtatapatapa sana lkn ukweli 25
Oooooh! Huna sera
Ndg zangu wanadai na sisi tuchaguepo raisi wa nchi, then mkishampata huyo sisuem what next.maisha yako yatabalika? Au uhohehahe ndio unaongezeka kazi kwako 25 october fanya maamuzi sahihi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.