Ni uelewa mdogo sana mtu kufikiri Lowassa atakuja kuvutia tena watu kama alivyofanya kipindi cha 2014 - 2015. Na mkumbuke kuwa hata akiwa ndani ya CCM, alikuwa hamfikii Samwel Sitta kwa umaarufu ila ni umburula wa Sitta aliyeamua kuleta ubabe na kuwaburuza watu kwenye Katiba mpya ndio ulimpoteza...
Ghafla ukweli unaanza kujionyesha juu ya ushindani matata uliopo kati ya Tanzania na Kenya kiuchumi barani Afrika baada ya takwimu za IMF 2016, kuonyesha uchumi wa Tanzania ukiwa nafasi ya 10 barani Afrika nyuma ya Kenya na ukiwa wa 82 na Kenya 72 kati ya nchi (chumi) 191 duniani.
Hivyo...
Niliwahi kuleta thread inayoongelea kuwa ''uadui kati ya Tanzania na Kenya ni wa hatari kuliko nchi zote za kiafrika'' na hata ukigoogle utaiona japokuwa kuna watu walikuja juu sana. Sasa takwimu taratibu zinaanza kujiset zenyewe.
Kwa muda mrefu sana hadi 2015, Tanzania tulikuwa tumezidiwa na...
Mimi mwenyewe nilitaka kumjibu maana sijamwelewa anamaanisha nini ukiangalia mfano wako ukiotoa ambao uko wazi. Au anadhani hatuzifahamu nchi alizozitaja?
Dunia ni kitu kipana kidogo. Unaweza ukaiita dunia (WORLD) ukimaanisha ardhi na bahari ambavyo vinatumiwa na wanadamu katika kuigawa ndani ya mipaka ya kiutawala ya nchi mbalimbali (states, countries na nations).
Hata hivyo tafasri sahihi ya kijiografia ya neno DUNIA ni (EARTH) ambapo hapa...
Unamkosoa Rais Magufuli kuwa hana weledi, sasa kipimo rahisi cha weledi ni nini? Kuna watu wengi hawajasoma na wana busara kibao basi tuwape hao watuongoze kama ndio mnachotaka.
Nina mashaka pia na elimu yako maana mimi nikiangalia maprofesa wengi sana pale UDSM hawaonekani kuwa na busara sana...
Nashukuru sana kwa kujaribu kuelezea kiufafanuzi japokua haya masuala ya udikteta kila mtu anayelewa yanamaanisha nini. La muhimu ni kuwa kuongozi kuwa wa kidikteta siyo tatizo isipokuwa kunakuwepo tatizo tu unapolinganisha na aina nyingine ya kiutawala mfano wa kidemokrasia. Suala la kujiuliza...
Naungana na ww kabisa ndio maana post yangu ya nyuma nilieleza umuhimu wa Rais kuviruhusu Vyama vyote kuwa huru kuendesha shughuli zao za kisiasa kwa sababi ndio msingi mkuu wa kila Chama kwamba kinapigania kuchukua madaraka. Na nilisisitiza kuwa mi ni muumini mzuri ''plurality'' badala ya Chama...
Nimetolea mfano wa Gerhard Schroeder kujibu hoja ya member. Jaribu kurefer majibu kwanza la sivyo utanitafasiri vibaya. Mimi nilijenga hija ya kuhamisha Makao Makuu ya nchi na kuonyesha jinsi Chancellor huyo alivyoharakisha suala hilo huko kwao Ujerumani.
Endapo Viongozi wa Vyama vya Upinzani...
Bak nachotaka nikukumbushe ni kuwa katiba na yaliyomo si chochote ama lolote mpaka wale inaowaongoza waikubali na kile kilichomo. Sasa jiulize vizuri kama kweli ulishawahi kuisoma vyema Katiba yetu, ni Rais gani ameitendea haki Katiba hiyo kama Sheria mama?
Nani Afrika ameitetea na kuilinda...
Mnamuonea bure Rais kwani ukifuatilia matamko yake, utaona kuwa, hayatoi kwa nia mbaya ya kumuumiza mtu isipokuwa ni njia yake ya kusisitiza jambo. Uwezo wa kuongea (oratory) ni mojawapo ya karama tulizojaliwa na Mungu hivyo siyo wote wenye uwezo huo na ukizingatia Rais alikuwa mwanasayansi...
Mangikule, ni vizuri tutoe haki panapohitajika. Tusijidanganye kuwa mabadiliko ya serikali yanaleta mabadiliko chanya kwa wananchi muda wote. Uzoefu uliopo hapa Afrika ni kuwa, hakuna nchi yoyote kubwa iliyoboresha maisha ya wananchi wake baada ya kubadilisha Serikali. Hivyo siyo CDM wala CUF...
Kwa kweli kwa suala la gharama kutakuwepo changamoto lakini nataka nikuhakikishie, ukifuatilia miradi yote mikubwa na yenye ufanisi nchini na hata nchi za wenzetu, utagundua mingi ilijengwa kwa ''kulazimishana''.
Angalia ujenzi wa reli nchini tangu wajerumani hadi wachina na TAZARA, vijiji vya...
Nilikuwa nasubiri hoja hii ndio niingize kipande hiki. ''UHALALI (LEGITIMACY) WA MASUALA YA KIJAMII HASA YA KISIASA HAULETWI NA SHERIA ZILIZOTUNGWA KUHUSU MASUALA HAYO ISIPOKUWA JINSI JAMII INAVYOYACHUKULIA MASUALA HAYO''
Hivyo, naombea sana Vyama vya upinzani vicheze na wananchi wa chini...
Tunataka baba mwenye familia ambaye ana mshahara mdogo a-share hicho kidogo na familia yake ikiwa ni pamoja na kulala njaa na familia yake kuliko kuja kugundua baadaye kuwa, baba mwenye uwezo nyumbani walikuwa wanakula vizuri muda wote na wana nyumba nzuri ya kulala lakini baba huyo ana mchepuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.