Recent content by deprettyG

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ajira bwana! Eti nikupe mshahara wa kwanza

    hana jipya yani kene sms zake anachobdl ni jina la company,mshahara na pesa anayodai kutaka kupewa kama asante....mxiuuu nyambfu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ajira bwana! Eti nikupe mshahara wa kwanza

    mh.huyu m2 jaman aliniacha hoi yan kama cku 2 zlpta ma friend alnfowdia dat sms na kumvumbua kuwa hyo ni tapel.he!kesho yake na mie natmiwa sms ka hyo tena kene no zangu zote yn ya tgo na voda..,nkampotezea kwa kuwa ckuwa na credt bt cku ilyofuata nkam2mia sms kwamba nko tayr bt mi ntamtoa hata...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba kujuzwa

    HAbari wana jf Naomba kujuzwa juu hl jambo,nimetokea kuipenda fani ya uuguzi(nursing)na kutamni kuisomea fani hyo lakin tatzo langu ni kwamba sijajua kama ntaweza kupokelewa katika vyuo vinavyotoa fani hyo ukilngansha na matokeo yangu ya kidato cha 4, Nlichukua mchepuo wa sanaa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi

    Habari wana JF Mimi ni msichana, umri miaka 22, elimu kidato cha nne pia nimepitia mafnzo ya customer care and service ngazi ya cheti. Ninaomba msaada wa kupata ajira kwa mujibu wa taaluma yangu lakini naweza pia kufanya kazi hata kwenye supermarket, ofisini kama msaidizi wa ofisi, petrol...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujibu maswali 25 kwenye Oral Interview

    huwa wanamaanisha nini unapoulizwa..kuhusu siniority and prerioty?? nlikutana nao kene intvw hata ckumbuki nlijbu vp
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na tabia ya mpenzi wangu

    hahahahahaha,..mbavu zngu mie looh!so umejiona kidume mwenyewe kuingia msituni huku umejsahau kuwa yaweza kuwa kunawanyama wakali walitia kwato zao..HUO NI UCHAFU 2 HAIMAANISHI KWAMBA NI MWAMINIFU..hahahahahahaha
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye ngozi/mwili laini wana mvuto sana kimapenzi, I don't know how about men

    mmh.makubwa
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Nataka bt ni vzul kujua ni aina gan coz ni mala nying 2naweka mahope kibao kwenda na shauku kubwa bt ukfika unasema ni heli ningekula mihogo naul angu kwa mama niii...kuwa muwazi watu wajiamulie kwenda ama kutokwenda
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Nataka bt ni vzul kujua ni aina gan coz ni mala nying 2naweka mahope kibao kwenda na shauku kubwa bt ukfika unasema ni heli ningekula mihogo naul angu kwa na niii...kuwa muwazi watu wajiamulie kwenda ama kutokwenda
  10. D

    JamiiForums Tanzania nisaidieni jamani waungwana!

    thankx!!
  11. D

    JamiiForums Tanzania mungu mkubwa

    thankx god at last i get what i want!!!may god bless to those who suffer!!!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Chuo kizur cha Airticketing DSM.

    nenda eagle wings!k/koo!
  13. D

    JamiiForums Tanzania msaada wenu wanajamv!

    msaada wa kazi ya saloon,supermarket,au yeyote ile iliyohalali!umri 21,chuo, mkoa dodma!mwenye msaada nami pllz ni pm!natangukiza shukran
  14. D

    JamiiForums Tanzania nisaidieni jamani waungwana!

    kati ta course ya secretary na tourlism ipi inafaa,upatikanaji wake wa kazi,,na hata kwa manufaa yangu mwenywe hat kuweza kujiajili!!???plllzzz help me
  15. D

    JamiiForums Tanzania nokia asha 200

    Cio mbaya ila na ingekuwa vizuli kama ungeandka topic yako bt c kungilia za watu!!cio lazima wote tucoment looll!!!
Back
Top Bottom