Recent content by Deogratius M

  1. D

    Udukuzi wa safari za wateule, privacy na personal life haipo tena?

    Kwa mtu mwenye akili na ufaham mzuri ni aibu mtu kuthubutu kusema mbele za watu kua umemdukua mtu au kumfuatilia kwa siri. Kila naposikia mheshimiwa anakiri kufanya hivi, naona aibu kana kwamba ameonyesha utupu wake hadharani.
  2. D

    Shaka: Lissu si mkweli, Abeid Karume, Dr. Kleruu na Mahinda walishambuliwa kwa risasi

    Jamaa kakurupuka na inaonyesha ana akili finyu, Lissu alisema tangu kuanza kwa multiparty system hapa Tanzania, hao aliowataja kina Dr Cleruu na Karume walishambuliwa ktk kipindi cha multiparty system in Tanzania? ?
  3. D

    Kenya imenusurika kunyimwa pesa za misaada kutoka Marekani, Tanzania yakalia kuti kavu...

    Umenena ukweli mtupu licha utapingwa na communist slaves lakini ndio ukweli
  4. D

    Hatimaye Tanzania yapiga kura Umoja wa Mataifa (UN) kuhusu kutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

    Unaonyesha ulivyo punguani na mwehu, ni kweli ulikua Israel lakini ulikua huko kama idiot kutoka Tanzania,hivyo hukujua nini kinaendelea, shame on you!
  5. D

    Hatimaye Tanzania yapiga kura Umoja wa Mataifa (UN) kuhusu kutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

    Iangalie Ufaransa kisha uitazame Rwanda utakua umejiongezea kitu kichwani
  6. D

    Hatimaye Tanzania yapiga kura Umoja wa Mataifa (UN) kuhusu kutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

    Ukiwa mpumbavu ,mjinga au juha usipende kupost vitu ovyo ovyo bila kushirikisha ubongo, utakua unaaibisha
  7. D

    Masota: Bongo fleva artist na komandoo wa JWTZ afariki dunia

    Nimesoma nae jamaa alikua anapenda jeshi sana! So sad!
  8. D

    Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

    Ni zamu ya kanda pendwa kula, sasa utaachaje kurudi nyumbani wakati ni wakati wa kula , kunywa na kustarehe? Amechagua fungu lililo bora, wakati ukuta.
  9. D

    Share nasi: Ulijisikiaje siku mpenzi wako unayempenda aliposema mimi na wewe basi?

    Mara zote watu wanaumizwa kwasababu ya ujinga ulio kwenye mioyo yao, ujinga ukitoka basi unajua jinsi ya ku manage mambo.
  10. D

    Share nasi: Ulijisikiaje siku mpenzi wako unayempenda aliposema mimi na wewe basi?

    Pole sana mkuu, ukweli ni kwamba kuachwa ni kubaya kuliko msiba lakini inabidi tushinde laa sivyo hiyo hali inaweza kuharibu maisha yako yote. Huna budi kusahau mkuu.
  11. D

    Kiama chaja: Bomoabomoa ya kufa mtu kuikumba nchi nzima! Ni kwa waliojenga bila vibali

    Faida tunayopata ni kodi kwenye interest ya huo mkopo ila tukizuia hela za mkopo kihivyo tutaathiri sector ya real estate. Hata haya majumba na magorofa tunayoyaona yanajengwa hapa kwetu na wawekezaji kutoka nje ni mikopo iliyochukuliwa kutokana na dhamana za ardhi ya wenzetu. Mkopo kama una...
  12. D

    Kiama chaja: Bomoabomoa ya kufa mtu kuikumba nchi nzima! Ni kwa waliojenga bila vibali

    Ni kweli, kama umenipa msaada ndio unaweza kunipangia matumizi, but kukopa unatakiwa uangalie kama narudisha mkopo au laa. Huyu waziri anakimbizana na vitu visivyo na msingi
Back
Top Bottom