Tunaomba tusaidiwe hii wizara ya elimu walizindua kituo Cha huduma juzijuzi na wakatangaza ila ukipiga simu utakuta namba haipatikani au namba haipokewi tunaomba kusaidiwa kufikisha hii taarifa kwa wahusika
Tumekuwa tukishuhudia kiongozi ndani ya Chama cha Mapinduzi akitoa maelekezo ili yafanyiwe kazi na Serikali Kuu, lakini pia ningependa kujua wanatoa tamko kwa sababu ndio chama kilichoshika dola au kuwa na viti vingi kwenye bunge?
Je, kiongozi wa chama cha upinzani kama CHADEMA kwanini akitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.