Still bado tunarudi palepale kwenye swali la msingi, kwanini wanatunyima mkopo? Najua kuna ishu ya vigezo but pale unapoona mwenzako ambaye vigezo umemzidi na amepewa mkopo mtu unashindwa kupata jibu sahihi!
Habari wana JF.
Baada ya kusubiri sana nimejikuta nipo na maswali mengi kuliko majibu juu ya swala la mikopo elimu ya juu. Bodi wametoa mkopo kwa almost form 6 wote ambao wamechaguliwa na wamesha report kwenye vyuo mbalimbali. Lakini kwa waombaji mkopo ambao tuna diploma, bado tupo pending...
Still bado ngumu sana kuelewa how it works. Service providers wetu hawa wa kibongo wanatoa ttcl certain amount of bundle ambayo wanatuuzia ki portions portions kulingana na vifurushi. ni nani au kampuni gani inayonufaika at last baada ya mimi kununua kifurushi cha bundle cha elfu 30 cha voda?
ni kweli maana baada tu ya whatsapp kuanzisha whatsapp call, bundle zikashuka mno. unajikuta kwa buku unapewa mb 2 ili kuwalazimisha watu watumia voice call ya kawaida
mkuu, mpaka umeingia online apa maana yake una bundle la internet (mb). sasa ni nani anayetengeneza internet bundle maana tigo, voda, airtel wananunua ttcl izi bundle wanazotupa. nao ttcl wanazipata wapi? ni kampuni gani inayotengeneza bundle?
I am curious! hivi tunaponunua bundle kwenye mitandao yetu ya kawaida (tigo, voda n.k), kwa namna flani tunapewa ka portion kadogo ka ku access internet. Kitu ninachojiuliza ni kwamba, wao tigo wanapata wapi? normal answer itakua TTCL ambao wanamiliki mkongo. Lakini kuliweka vizuri swali Ni...
Habari wana JamiiForum!
Nina huzuni kubwa sana kwani baba yangu mzazi amekamatwa na police wakishirikiana na askari wa TANAPA na kuwekwa ndani zaidi ya wiki sasa bila ya maelezo yoyote yale ya kutosha.
(stori kwa ufupi)
Baba yangu anamiliki silaha aina ya short gun kihalali kabisa. amekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.