Jamani naomba maelekezo jinsi ya kuappeal mkopo kuna sehemu ya kuingiza password alafu kuna sehemu ya security code sasa apo kwenye security code unaweka nn?
Naandika hili kwa masikitiko makubwa tumejitahidi sana kufika elimu ya tulisoma kwa bidii wakati mwingine bila kulala lakini mpaka sasa sina uwakika kama wengi wetu tutaingia chuo kikuu kwani bila mkopo ni wachache watakaoweza wawakilishi wetu uko bungeni tunaomba mtutetee kwa ilo kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.