Kujibu ----- wa mtu kama wewe eti kwa kigezo cha kujenga hoja yahitaji unywe kiroba kwanza,jamaa unamponda mtoa mada hapo juu utadhani na wewe huwa unajumuishwa katika misafara ya kwenda nje kulia shida na Rais wako kumbe hata kushikana mkono na magamba wenzio haujawahi,narrow minded kama wewe...
Kama katibu mkuu wa chama kilichoshika dola anatuhumiwa kusafirisha pembe za ndovu nje sasa tutegemee nini kama si madudu zaidi katika hii IMPOTENT GOVERNMENT.
Katika mfumo huu wa serikali ya chama cha magamba ama kweli hata uwe profesa au dokta ni lazima elimu yako uiache nje ya system.This is shit kivipi std seven awe chuo kikuu.
Huyu jamaa ni kenge kwenye msafara wa Mamba,kama huna hoja ukinyamaza itakuwa busara zaidi,kuliko kuonesha uwezo wako mdogo humu jukwaani.SHAME ON YOU.
Salute JF!,Kwa wale wavivu wa kufikiri na wafuasi wa Magamba,je ni kweli kwamba serikali inatuaminisha kuwa serikali ya China inatupenda na kutusaidia katika nyanja mbalimbali za kiuchumi?,bila shaka sote tunafahamu matatizo ya matetemeko ya mara kwa mara nchini China kama lile lililotokea juzi...
Naona Magamba madogo yamekomaa kuyakingia kifua Magamba makubwa,yanataka yapewe kazi ya kupeleka pembe za ndovu Ughaibuni na katibu wao aliefukuzwa na wananchi Kilosa Morogoro.Ni sawa na mpiga chabo anahisi na yeye anapata raha ya ngono kama wanaofanya ngono.
We mleta mada jaribu kuwa patriotic mbona unaonekana kama una 10% kwenye miradi zaidi ya 16 aliyosaini Mwenyekiti wenu wa Magamba pale magogoni wakajti wa ziara ya Xi Jinping,but in reality waweza kuwa walewale wa t-shirt na pilau,onea huruma Watanzania wenzako ambao hawajui nini hatima yao ya...
Masaburi alishawaambia wanatumia M.A.T.A.K.O kufikiria,so hata haishangazi as long as ni Magamba yaleyale ya sera zilezile kwa masikini walewale wa Tanzania.
Only a fool can stand before people and support CCM,We mtoa mada unaongea kama unaishi ughaibuni vile.Ni bora Chadema kuna elements tena wanachama wa kawaida ambao sometimes wanatumiwa na Magamba kuchafua reputation ya cdm kwa walio wavivu wa kufikiri,kuliko nyinyi ambao kuanzia top leaders ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.