Recent content by Deo chacha

  1. D

    JamiiForums Tanzania TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

    Ilikuwa saa ngapi hiyo wakiwa mazoezi wakaangua kilio
  2. D

    JamiiForums Tanzania Yusuph Mwenda: Kati ya watanzania Milioni 62, wanaolipa kodi ni Milioni 2 tu

    Kila bidhaa inayonunuliwa na mlaji wa MWISHO inalipiwa kodi hadi sanda ya maiti. Mnataka kodi gani zaidi iliyosahaulika? Mumetengeneza ajira ngapi mpya ili kuongeza walipa Kodi?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

    Imara madhubuti kwa wizi na ufisadi na uuaji.unyang'anyi iwekwe pema mahala pake roho marehemu jiwe.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Bila ya CCM, Tanzania ingepoteana

    Mtoa post umevurugwa
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kiboko cha EU lazima kituchape kuhusu Ngorongoro

    Haya twende kazi. Katika maajabu ya dunia tunaongoza
  6. D

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Sawa na waziri asie kuwa na wizara maalum ofisi ya Rais.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ni uongo Kudai 80% Walikataa Mfumo wa Vyama Vingi

    Mwambie au mkumbushe mwaka 90 na 91 kulikuwa na tukio gani la kitaifa kuhusiana na mfumo wa vyama.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa anadaiwa kusafirishwa Usiku huu (August 14, 2023) kuelekea Mbeya

    Bado tuna wapumbavu wengi sana nchi hii. Kwamba kuna watu wanafurahia uovu unaofanywa na serikali hii?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

    Yaani hapa umehamasisha watu wakitafite na kukisoma
  10. D

    JamiiForums Tanzania Legacy ya Hayati Magufuli haitofutika mbele ya wanyonge ila bado hakuwa malaika, alikosea pia

    Umejitahidi kuandika usilolijua
  11. D

    JamiiForums Tanzania Serikali yaomba siku 14 kumjibu Mkulima aliyewashtaki Mawaziri

    Mkulima hongera sana kwa kuthubutu kuamsha taifa
  12. D

    JamiiForums Tanzania Posho ya billioni 47 yapitishwa kwa lazima, vurugu zaibuka bungeni

    Hiyo ndio nchi yetu ya ahadi
Back
Top Bottom