Recent content by DEO AGRO COMPANY

  1. DEO AGRO COMPANY

    Deo agro campany

    tunashukuru kwa kuvutiwa na miradi yetu. kwa sasa mtaji bado haujakua vizuri hivyo bado hatujaamua kuwa na ushirika popote,kwani bado tunakazi ya kujiimalisha ki mtaji kwanza
  2. DEO AGRO COMPANY

    Deo agro campany

    Habari za siku wakuu, nimekuwa kimya mda mrefu hii ni kwa sababu ya ubize na kupata faida kidogokidogo kwa kila mvuno, ninaendelea na kilimo cha bustani ingawa sijastep sana, nikitulia nitawapa mrejesho vizuri(kwani kikundi kimesambaratika na nimebaki mwenyewe, nikiendeleza ila siko vibaya sana)
  3. DEO AGRO COMPANY

    Bei ya Water pump Ndogo (Manual)

    Hii mashine ikoje na inatumia umeme au, hebu ielezee
  4. DEO AGRO COMPANY

    Deo agro campany

    Bavaria Nilitaka niku pm naona pm haifunguki, naomba ushauri zaidi, haswa unajihusisha na kuprocess mazao gani changamoto zikoje
  5. DEO AGRO COMPANY

    Deo agro campany

    Nimeku pm mkuu
  6. DEO AGRO COMPANY

    Kina Kaka huwa mnajifikiriaje?

    Jifunze ujasilia mali
  7. DEO AGRO COMPANY

    Deo agro campany

    Sawa mkuu
  8. DEO AGRO COMPANY

    Deo agro campany

    tunashukuru mkuu.
  9. DEO AGRO COMPANY

    Deo agro campany

    bab-D,asante na karibu
  10. DEO AGRO COMPANY

    Deo agro campany

    Tuna shukuru sana bab-d, itafaa zaidi tukiwasiliana
  11. DEO AGRO COMPANY

    Deo agro campany

    Kimolah fine, hebu ngoja tukae na kuona hili asante
  12. DEO AGRO COMPANY

    Deo agro campany

    Mkuu, tuko mwanza wilaya ya magu hujaona hapo juu? kwakuwa kampuni hii imebuniwa na imeanzishwa kwa ushauri na michango ya wana jf, tunaomba ushauri zaidi ili kufikia malengo,pia tunaomba busiminat na wengine watupe msaada zaidi, kampuni hii inawataalam watatu wa kilimo ambao wako hapa magu...
  13. DEO AGRO COMPANY

    Deo agro campany

    DEO AGRO COMPANY Ni kampuni mpya ambayo inajihusisha na mambo ya kilimo, kwa sasa imeanza na kilimo cha cha mbogamboga na matunda, kwa kua ndio imeanza imekodi hekari sita kwa miaka mitatu na inatumia drip irrigation katika umwagiliaji,inazalisha mchicha, nyanya vitunguu, tikitimaji...
Back
Top Bottom