Recent content by denzel

  1. denzel

    JamiiForums Tanzania Dalili za Tanzania kuingia katika soko la uzalishaji na uuzaji wa bidhaa za electroniki

    Dah mapema sana, hata moja halijauzwa.
  2. denzel

    JamiiForums Tanzania Dalili za Tanzania kuingia katika soko la uzalishaji na uuzaji wa bidhaa za electroniki

    Kochi la kipekee lililobonuwa na mtanzania na kutengenezwa Tanzania likiwa na Music system yenye Bluetooth, FM radio, USB port, SD port, built-in AUX cord. Pia likiwa na Shelf, Taa, Draw, na Socket ya kuchajia sim/laptop. Kwa atakae hitaji 0744852976.
  3. denzel

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya viwanda

    Ni muda sasa wa Tanzania kubuni na kuuza bidhaa za ki electronic kama ilivyo China na mataifa mengine ya ulaya na kuweza kuwauzia wao kama wanavyotuuzia sisi. Tuna vijana wenye akili sana na ubunifu wa hali ya juu na endapo itaanzishwa platform ya kuweza kuwasaidia basi miaka michache ijayo...
Back
Top Bottom