Recent content by denoo JG

  1. denoo JG

    Freeman Mbowe: Scotland Yard ya Uingereza ichunguze Matukio ya Utekaji na Uuaji nchini

    Hakuna lisilowezekana naamini, jambo la kufanya ni kuwalazimisha serikali mpaka wafanye kile wananchi wanataka. Kutangazwa ni hatua ya kwanza, kitachofuata ili kulazimisha utekelezaji wa hilo ndio muhimu zaidi. Mkumbuke haya mambo hayaji tu kama kupokea mkate kwenye sahani, lazima yapiganiwe...
  2. denoo JG

    Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho

    Hii serikali haijawahi kulazimishwa, siku ikilazimishwa sio tu Scotland Yard kuja nchini, bali hata ile Rasimu ya Warioba ndio itakuwa Katiba yetu.
  3. denoo JG

    PreGE2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

    "Samia must Go" ndio itakuwa hashtag kule X?! Not enough!. Nasubiri wakutane waje na azimio lingine, haya mambo ni field zaidi sio kuandika huku na kule.
  4. denoo JG

    Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho

    Unaishi kwa kukariri, hiyo tarehe 21 kitachotangazwa wasipotolewa mateka uwepo field, sio kulaumu tu JF.
  5. denoo JG

    Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho

    Kuna ma-snitch wana pretend wako Chadema but they hate that situation. Wachawi.
  6. denoo JG

    Napendezwa sana na utulivu alionao Freeman Mbowe

    Vipo vitoto vina mihemko vinamuona hafai.
  7. denoo JG

    Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho

    Hiyo ultimatum aliyoitoa Mbowe kwa serikali mpaka Jmosi tar. 21 hujaiona hapo? Mna mihenko sana. Wewe ulitaka kumpangia afanyeje?
  8. denoo JG

    Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho

    Inapendeza kuisoma hiyo ultimatum waliyoipa serikali, watekaji lazima wasukumwe kwenye kona ngumu wachague kuwatoa walipowaficha mareka, au maandamano nchi nzima yasiyo na kikomo. Ukiogopa kuandamana, kaa usubiri kutekwa, uteswe, kisha wakakutupe watapopenda wenyewe. Kama wameshawaua...
  9. denoo JG

    Diddy ashtakiwa tena, adaiwa kumlazimisha Ngono na Dawa za Kulevya Mtayarishaji Muziki wake

    Pale Magomeni palikuwepo na bar moja maarufu kipindi fulani, kuna wasanii wawili wa bongo fleva waliwahi kuzibuliwa mitaro na bosi mmoja wa Wasafi, na bahati mbaya hao wasanii wameshapotea kwenye game ila mmoja ndio aliamua kuhamia Mombasa kwa shughuli zake za muziki.
  10. denoo JG

    Tumuombee sana Mzee Butiku wa taasisi ya Mwalimu Nyerere

    Sikumbuki kama kina Soka walikuwa wanaita waandishi wa habari kama alivyofanya Butiku.
  11. denoo JG

    Balile: Mzee Butiku aache uwoga atutajie majina ya Wauwaji wa Kibao aone kama hatutachapisha, aache kututukana Waandishi!

    Butiku aliwafundisha waandishi namna ya kumuuliza maswali Masauni, sijui kwanini Balile amekuwa mkali.
  12. denoo JG

    Kuhusu kuuawa Hayati Mzee Ali Kibao, Mwandishi nguli wa Habari za Uchunguzi Bollen Ngetti ameandika haya, inafikirisha!

    Paragraph yako ya kwanza ya maswali umeonesha ulivyo tawaliwa na emotions, ukiwa hivyo utashindwa kutetea hata ukweli ulio wazi, utashindwa kesi kirahisi sana hata kama haki iko upande wako, rilaxx. ▪ Nani aliyekwambia kwenye siasa hakuna kushawishiana? ▪ Nani aliyekwambia kwenye suala la...
  13. denoo JG

    Mdahalo wa Dunia kati ya Harris na Trump: Muda kamili kwa saa za Afrika Mashariki huu hapa

    Sasa tulia uone atakavyopigwa kuanzia kura za wananchi mpaka huko kwa wazee. USA haiwezi kuongozwa na mhuni kwa mara ya pili.
  14. denoo JG

    Mdahalo wa Dunia kati ya Harris na Trump: Muda kamili kwa saa za Afrika Mashariki huu hapa

    She is a lawyer.. who is Trump?! Mzee wa Casino.
Back
Top Bottom