Recent content by dennis1

  1. D

    Kwa mliochagua Wabunge na Madiwani wa vyama vya upinzani, je kuna nafuu yoyote mnapata?

    Kiongoz wako alisema anasafir kwenda inje maranyingi kutafuta wahisani wakuendesha nchi yetu wabunge wa ccm wakafrahia na kupiga makofi. Juz mheshimiwa magufr kasema kunawatu wamesafir sana safar za inje kuliko kwenda kuwatembelea wazazi wake makofii kibao. Mkuu hapa wewe unajifunza nini...
  2. D

    Baada ya Baba Wa Taifa Mwalimu Nyerere anayefuatia kwa uongozi bora ni Rais Magufuli

    Mkuu mda bado wakumjaji kua kafanya vizr. Hatukatai mkuu dalili ya mvua nimawingu lakin tambua kua haraka haraka haina baraka. Tumuombe mungu atutoe hapa tulipo.
  3. D

    CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

    Mkuu pole kwa kazi. Ila pole pia kwakutokutumia ubongo wako kuchanganua mambo. Hao wote ulowataja niwanasiasa na huyo dada alikua mwanasheria wa serikali. Kumbuka kuwa kunabaadhi ya taasis hazitakiwi kufungaman kisiasa. Ipo siku hata jeshi la wananchi mtatamani liwe la chama tawala. Kueni makin...
  4. D

    Ratiba za kampeni kwa wagombea urais zawanufaisha UKAWA

    Viva lowasa. Haya sasa kaz kwa ccm kusomba wanafunz nakuwapotezea mda wakujisomea.
  5. D

    Msafara wa Mama Regina Lowassa wasimamishwa akielekea Mbeya

    Mfano wakuigwa huyo mama. Thx mama.
  6. D

    Achana na Chopa Rais wangu ajaye.....

    Mkuu ajali nipopote wote tutakufa ila nikwasitail mbalimbali. Ila kikubwa nikumuomba mungu tu hatujui nani atatangulia.
  7. D

    GE2015 Mulongo anasurika kipigo, kisa Lowassa

    Duuuu!!! Niaibu kutafta wanafunzi kwakazi kama hiyo badala yakuwaacha wajisomee. Elim yetu bado mbovu bado tena wanawapotezea mda wanafunz.
  8. D

    GE2015 Kulinda kura: Wakili Peter Kibatala afungua kesi Mahakama Kuu

    Katika watu ambao hawajitambui niww sasa upige kura arafu ukalale hayo matokeo utamtangazia nani. Panua ubongo ww
  9. D

    Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Hapo hamna siasa mkuu. Mpe kura yako unayemuamin sio kuwaadaa watu hata mimi nimtanzania kama ww lakin kura yangu nisir.
  10. D

    Operesheni Zinduka 7 - Afya ya Lowassa Siyo Hoja kwa Sasa - TeamLowassa Wameona Mbali?

    Lowasa my prsdnt. Viva lowasaaaa mtahangaika sana.
  11. D

    Kujitoa kwa Mwapachu CCM, Sababu hizi hapa

    Beni hata usijali sisi wananchi tumeshaamua mda mrefu lowasa ndochaguo letu watanzania tulio wengi. Viva ukawa viva lowasa.
Back
Top Bottom