Recent content by Dennis002

  1. Dennis002

    Kazi ya Sensa 2022: Majina ya walioitwa kwenye Usaili kwa Manispaa ya Morogoro

    Na Manyara wilaya Babati kama unayo mkuu tafwadhali usikae kimya
  2. Dennis002

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Na mkeka wa Manyara wilaya Babati jamani kama unao tusaidiane mkuu
  3. Dennis002

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Mkuu umeipatia wapi hiyo, ukipata ya Babati Manyara usikae kimya boss, tupia tu humu
  4. Dennis002

    NBS mmezingua! Mngesema Toka awali nafasi za kuomba ni Karani na TEHAMA tu

    Mkuu, kama hutojali naomba na mimi nakala ya huo mwongozo PDF. PM au WhatsApp yangu ni 0657240290
  5. Dennis002

    NBS mmezingua! Mngesema Toka awali nafasi za kuomba ni Karani na TEHAMA tu

    Mkuu naomba unitumie huu mwongozo mzima WhatsApp 0657 240 290 kama unao in PDF, kama hutojali. Ahsante!
  6. Dennis002

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Eleza kwa kina jinsi gani tunaweza kukuamini. Kwani wale maafisa wanaohusika na usaili tulioambiwa kwamba wako mafunzoni kwani wanafunzwa ili iweje.
  7. Dennis002

    Kuna nini kinaendelea kwenye mambo ya Ajira za Sensa?

    Watatoaje majina kabla ya usaili? Tunatakiwa tufatilie huku katani na wilayani kwa wale wa Tehama, coz walisema watatumia no zetu za simu kutuita kwny usaili.
  8. Dennis002

    Chumba kinahitajika Kimara

    Salaam wakuu ninahitaji chumba single cha kupanga kwa ajili ya kukaa mwanafunzi maeneo ya kimara korogwe au kimara-mwendokasi kisichozidi 40,000/- kwa mwezi. Kianzio 120,000/-
  9. Dennis002

    Kwa matokeo haya, TCU legezeni Kamba kwa hawa vijana wa sayansi

    Serikali haina pesa za kuwalipa group kubwa la madaktari wanaograduate kila mwaka nchi nzima so inabidi itumie njia mbadala ndo hizi unaziona leo
  10. Dennis002

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Yeye anapenda kufanya kazi gani hasa, tuanzie hapo
  11. Dennis002

    Naomba muongozo wa mitihani ya clinical medicine in diploma

    Kila mwaka utafanya mtihani wa wizara na vyeti utapewa ila ujiandae kama unataka
  12. Dennis002

    Mauaji Kibiti: Mkazi wa Nyambwanda, Hamis Ndikanye auawa kwa risasi

    Usisahau kwamba hiki ni kikundi cha watu wengi wasiojulikana ukisikia wameuwawa haimaanishi kwamba polisi wamemaliza kazi hapana bado ni mwanzo tu wa mapambano
  13. Dennis002

    KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu watajinyenyekesha na kuomba, nami nitasikia kilio chao na kuiponya nchi. It will never end if we 'll escape this word
Back
Top Bottom