Mbona samia hajawahi miliki kiwanda na ni Rais unajua wewe ni mjinga sana
Nyerere alikuwa tu mwalimu ila alikabidhiwa nchi kwani kuna kiwanda nyerere alikuwa anamiliki kabla hajawa Rais
Ebu naomba nijibu
Mambo yote yanafanyika
Satellite zitaiongezea nchi mapato na hayo mapato yatatumika kutengeneza madawati
Alafu basi umeridhika na kujiona mjanja kuniita malaya
Hawa ndo wanaolia kila siku ccm waondoke madarakani unasema turushe satellite mtu anakuita mjinga
Ndo maana afrika sio wapinzania au chama tawala wote ni walewale kuna tatizo kubwa sana
Serikali ya inatoa sana subsidy inapambana wanazalisha megawatts nyingi za umeme ili uwe chini na kupunguza gharama za uzalishaji
Serikali lazima itengeneze mazingira kwa kila jambo kuthrive
Sema afrika aliyetuloga ameshafariki
Tatizo sio propsal ila ni kubwa kuliko wengi wanavyodhani
Watu wameshapeleka proposal nyingi sana na zimepigwa chini
Satellite ni real sio ndoto za kutisha
Sema viongozi wengi wa afrika wanaakili kama zako ndo maana tuko hivi
Na kwa akili kama zako ni ngumu sana kutoka hapa tulipo
Hakuna mkakati wowote wa serikali alafu unasema zitazalishwa hapa labda kwa miujiza sababu waafrika tunapenda miujiza
Watu wanamikakati na wanaweka fedha nyingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.