Wao wakanushe tu lakn watanzania bado hatuwaamin viongoz wetu katika kulinda na kutetea masilahi ya wananch, hivyo kukanusha kwa taarifa hzo ni sawa na kurudisha uhusiano kwa mwanamke uliyempa talaka 3 hata akikusikiliza hatakwamini kamwe...hicho ndo serikali yetu inachofanya
Ndiyo imepitwa na wakati, kwani tukiangalia lengo la hukumu ya kifo kama adhabu kwa wahalifu haijafaulu, adhabu ipo lakini watu bado wanaua labda kama llengo ni kulipiza kisasi(REVENGE) bas haijapitwa na wakati lakin kama ni (DETERENCE) IMEPITWA NA WAKATI
Tumia hyo shahada yako vizuri, mpaka hapo mm kama human right fighter umeshanikwaza kwa sababu una elimu lakini unaonesha ubaguzi wa kimapenz kwa kigezo cha elimu, mmuoe kisha umpeleke shule sidhani kama yye hakupenda shule yawezekana ni kutokana na sabbu mbalimbali kama umaskin n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.