Hiyo revenue ndio mfananishe na GDP because latest GDP ya Kenya ni $69 Millions......mambo mengine wacheni sifa za mtandao kwa kufananisha kifo na usingizi....
Mnafananisha vitu viwili visivyofanana. Volume of Transactions vs Gross Domestic Product. May be it is because hamfahamu maana ya GDP.
Now lets compare the likes.
From Vodacom Tanzania Prospectus to Capital Market, they have reported an average of TZS 2.6 Trillion (equavalent to around in...
Waefeso 5:22-24
22 Wake, watiini waume zenu kama mnavyomtii Bwana. 23 Kwa maana mume ni kichwa cha mke kama vile Kristo alivyo kichwa cha kanisa, ambalo ni mwili wake, naye mwe nyewe ni Mwokozi wa kanisa. 24 Basi, kama vile Kanisa linavyom tii Kristo, vivyo hivyo na wake pia wanapaswa kuwatii...
"mwanaume hana "ela"
"mwanaume amepanga chumba viwili"
Hamuoni huyu hata kuandika kiufasaha ni changamoto? Kunaonyesha wazi kiwango chake cha elimu ni kidogo kwa hiyo ameona analazimika kutumia jinsia yake kutoka kimaisha.
Ufahamu wa lugha una sehemu nne.
Listening. Reading. Speaking. Writing.
Mwanafunzi mzuri wa lugha angalau ufaulu katika sehemu hizi kwa asilimia isiyopungua 70. Ndiyo utakuwa competent.
Kwa mfumo wa elimu yetu ulivyo, umekazia sana kwenye Writing na Reading. Speaking and Listening skills...
Kwani Benjamin Mkapa kiingereza ni lugha yake ya kwanza!? Au J.K.Kikwete? Lakini walikuwa fluent.
Ni kama Makonda juzi anawaambia wanafunzi "This is a very interested story" Hahahaha. Ni aibu. Na hakuna kutoe excuses. Si kwamba Magufuli hafahamu kiingereza but hayupo competent. Na competence...
Excuses will never get us anywhere. Ukisoma mpaka PHD (hapa Tanzania) basi ni dhahiri kuwa asilimia zaidi ya 90% ya masomo tangu uanze darasa la kwanza umeyasoma kwa lugha ya kiingereza.
Yamkini ulisoma shule ya kayumba ukiwa shule ya msingi, na kule kuna somo la "English" kwa miaka 7...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Basi ndio maana ngosha anakuwa mkali. Ushamba pia ni changamoto. Technolojia imekuwa boss. Hizo Data zipo tu. Hata ukitaka kujua ndege ngapi zinatua kila siku pale JNIA wala huendi kwa mamlaka. Unapata online tu.
Serikali...
Aina yake ya uongozi ndio inasababisha haya. Watu wanafanya vitendo na kuongea maneno yatakayomfurahisha Rais.
Utakumbuka wale wa TBC walirusha habari feki kuwa Donald Trump kamsifia Magufuli. Hawa nao walifanya vile (na kuacha ueledi pembeni) kwa kuhisi habari ile ingemfurahisha Mkuu wa Nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.