Recent content by denijo

  1. D

    Ni msimuliaji gani kwenye online media ambaye yuko vizuri kwenye simulizi za Kijasusi na Intelijinsia??

    Napenda sana kufuatilia hadithi za ujasusi na Intelijensia ni Msimuliaji gani aliye bora katika eneo hili? Na katika digital platforms anapatikana kwa jina lipi?
  2. D

    NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "TOTO Afya Kadi". NHIF yadai hawajafuta ila wameboresha

    Naomba kujua, so bima iliyopo sasa hivi kwa NHIF ni ipi? Na je bima ya afya kwa watu wote ikija hii NHIF haitahitajika?
  3. D

    NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "TOTO Afya Kadi". NHIF yadai hawajafuta ila wameboresha

    Kwahiyo mbadala wa hiyo bima ya watoto ni upi? Au ndo hivyo watoto hawatakuwa na bima daima au?
  4. D

    Kwa yeyote anayesoma Bsc. Education kupitia Open University, tujuane

    Kama kichwa kinavyojieleze, ikiwa unasoma, au umewahi kusomea Open University kwa Bsc. Education, naomba tujuane tupeane uzoefu wa namna ya kutoboa kozi hii. Asanteni
  5. D

    Chungulia account yako labda utakutana na mkopo

    Umepata kweli.make mi nipo HKMU first batch jina lngu halikuwepo lkn baada ya muda nliingia heslb nkakuta breadown bila kujazwa chchote kwenda chuon nkakuta hyo majn na lang limo so ndo nkacheki hyo hla walonipa
  6. D

    Chungulia account yako labda utakutana na mkopo

    Mkuu usizan kama utawekewa kias kene hyo profile hivo utavionea chuo mi mwenyewe nshapewa mkopo na nkajua kias changu na kila kitu lkn nkienda kene profl nakuta brk down haijajazwa so nenda chuon ndo utaona hzo garama ulizolipiwa.vingnevo utasbr mpka bhas
  7. D

    Nimechaguliwa MD Hubert Kairuki lakini nimekosa ada naombeni msaada

    ada ni 6.4m na mm niliomba heslb lkn nimekosa batch1
  8. D

    Nimechaguliwa MD Hubert Kairuki lakini nimekosa ada naombeni msaada

    Nimechagliwa doctor of medicine pale Hubert Kairuki lakini sina karo. Naombeni msaada
Back
Top Bottom