Recent content by den texas

  1. den texas

    Simba wanasajili wachezaji bila kuwa na kocha mkuu

    kwan we hujaona mtu anasajili lain ya simu wakat hana simu
  2. den texas

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    mpaka sasa ni 09:10 ubao unasoma 0 0
  3. den texas

    Msaada: Nawezaje kufungua akaunti ya UTT?

    kaz yangu tena, mbona ghafla hivyo mkuu??
  4. den texas

    Msaada: Nawezaje kufungua akaunti ya UTT?

    ndo hivyo boss.. mfano mm kila siku naingiza 3000, sasa kwa siku ya kazi mfano j 4 hapo naweza kuingiziwa 12000
  5. den texas

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    we jamaa ni limbuken sana alafu inawezekana bado ni mtoto uko kwa shemej yko. Maisha yangekuwa rahis hivyo watumish weng wa umma wangekuwa mabilionea. acha utoto
  6. den texas

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    kwa mshahara huo ukianza kaz na ndan ya mwaka mmoja ukioa.. umaskin utakuganda kwa muda mrefu
  7. den texas

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    hiv hiz habar ya vyama vya wafanyakaz ni huko halmashaur tu au? maana kuna baadhi ya taasisi sijaona hiz mambo za vyama vya wafanyakazi
  8. den texas

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    duuh aisee kuna haja ya kujiongeza nje ya kazi, mana maisha yapo juu sana kwa sasa
  9. den texas

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    hiyo 1.3m ni baada ya makato ama?
  10. den texas

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    yan jamaa hajaripoti hata kazin lakn maneno kibao..kashajiona tayari na usikute kumbe kashamfollow dotto magari insta😂
  11. den texas

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    nadhan watu hawaamin email ila mpaka ijumaa jion tutegemee shuhuda zaid
  12. den texas

    DOKEZO Walimu Shule ya Mpanda Day wanalazimisha wazazi tulipe hela ya ‘twisheni’ wakati wa likizo

    watanzania tusipende vitu vya bure jamn vinatucost pakubwa.. kama hutak acha kuchangia wengine wasome
  13. den texas

    Wakati Watanzania takribani 50 wakiangamia huko Hanang na maelfu wakiachwa majeruhi, Rais wetu na Makamu wake hawako nchini

    Rais kashotoa maelekezo. vikosi vya uokoaji vipo eneo la tukio wanachapa kazi wew upo ghetto na mkeo mmekumbatiana alafu bla blah nyingi hapa.
Back
Top Bottom