Vijana wa kiume, sikilizeni kwa makini.
Hamna haki wala uhalali wa kujiingiza katika tendo la ndoa bila kinga na mwanamke ambaye bado hujakutana na wazazi wake, hujazungumza kwa dhati kuhusu ndoa, wala hujaafikiana juu ya hatima ya mimba iwapo ingetokea. Tendo la ngono lisiloambatana na...
Maana katika Press yake aliongea kitu ya kwamba angelikuwa na uwezo angewakusanya Vijana wote wa Tanzania Bara na kwenda kuwatupa nje ya nchi kama vile Iddi amin Dada alivyokuwa akiwatupa watu kwenye ziwa victoria.
Kiashiria kingine ni kwamba Tangu alivyotimiza lengo lake la kupunguza idadi ya...
Ni jambo la kusikitisha kuona mtu mwenye dhamana kubwa ya kulinda sheria na haki akizungumza maneno yasiyolingana na hadhi ya ofisi yake. Tunahitaji viongozi wanaotuliza, si wanaochochea.
Tanzania inakabiliwa na pengo kubwa la uongozi bora na utawala bora. Tumekuwa tukifanya makosa kwa muda mrefu kama taifa, jambo ambalo limesababisha matukio yaliyotokea wiki hii. Miongoni mwa hayo ni utekaji, mauaji, kufungwa watu bila haki, kesi za uongo, na ukandamizaji wa upinzani unaofanywa...
Beberu la kihaya ni mjanja sana.
Kaomba tenda ya bilion 5.6 kwa mwaka, Yeye kaiuza tenda kwa third party ambaye ni DIADORA (kampuni ya vifaa vya michezo kutoka Italy) kwa bilion 7.9 kwa mwaka.
Wakati huo huo ako na kamisheni yake kwsnye kil jezi inayouzwa.(Kamisheni approxmatly USD 2 per...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.