Recent content by Demarcation

  1. D

    JamiiForums Tanzania Heshimu kila mtu, watu ni walewale - Dotto Biteko

    Kakutapeli nini tena!?
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya aliyekamatwa na dawa za kulevya Vietnam kunyongwa Machi 17, 2025

    Acha utani wako, Ngombe hanenepi siku ya mnada hata ukimlisha gunia zima la majani ya Ngombe!!
  3. D

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Redio na TV havina mpango na kumbukizi ya kifo cha John Magufuli

    Inamaana wwe kama wwe huna maamuzi yako hadi ujifunze kwa Marekani na China!? Hizi ni akili za kitumwa!!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Redio na TV havina mpango na kumbukizi ya kifo cha John Magufuli

    Punguza chuki kwa Marehemu, maisha hayataki hasira!!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Redio na TV havina mpango na kumbukizi ya kifo cha John Magufuli

    Na vilevile kwenye Katiba hakuna sehemu iliyokataza Kiongozi aliefia madarakani asitengewe siku maalumu!!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Redio na TV havina mpango na kumbukizi ya kifo cha John Magufuli

    Magufuli ndiyo Rais wa Kwanza kufariki akiwa madarakani,wenzake walikua tayari ni wastaafu!!
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka nikapime DNA na mtoto asie wangu akiwa na mama yake kupima ukweli wa majibu ya Mkemia Mkuu

    Ukitengeneza cheti cha ndoa cha mchongo,na wao wanakutengenezea matokeo ya DNA ya mchongo! Hapo ngoma drow!!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ni sawa, umeenda kupima DNA na ukakuta mtoto sio wako; utafanyaje?

    Duh! Kweli wwe ni Jasusi mzuri sana, unajua kukusanya taarifa kwa uhakika!!
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka nikapime DNA na mtoto asie wangu akiwa na mama yake kupima ukweli wa majibu ya Mkemia Mkuu

    Wwe achaa tu,Mungu ndiyo anajua! Tumshukuru Mungu kwa kila jambo!!
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka nikapime DNA na mtoto asie wangu akiwa na mama yake kupima ukweli wa majibu ya Mkemia Mkuu

    Alafu tukikutana na hao watumishi wa Mkemia mkuu huko kwenye nyumba za ibada au kwenye mabar huwa wanatungonga sana kwa nyuma kisogoni kua tumepigwa!!
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Kanisa (Sinza, Dar) aliyeshtakiwa kwa kumlawiti mtoto kwenye vyoo vya Kanisa, atupwa jela Miaka 30

    Tumia hoja hiyo kumchomoa kwenye rufaa kama Mahakama ya juu itaikubali!!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Kanisa (Sinza, Dar) aliyeshtakiwa kwa kumlawiti mtoto kwenye vyoo vya Kanisa, atupwa jela Miaka 30

    The Court is entitled to apply common sense hata kama vipimo vya DNA hakuna!!
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Serikali kubana Matumizi (Austerity Measures) ulienda na Magufuli?

    Watu wanapishana angani kama kunguru siku hizi!!
Back
Top Bottom