Recent content by deliverance man

  1. deliverance man

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Reload mara nyingi kwa kadri utakavyoweza mpaka ikubali. Mimi nimefanya hivyo kila hatua mpaka imekubali
  2. deliverance man

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Ndioooo nimeshaomba
  3. deliverance man

    JamiiForums Tanzania Ajira za polisi kwa wenye fani hivi salary scale zao zinaendaje?

    Naomba kujua wadau, hivi mtu anayefanya kazi na jeshi la polisi kwa kitengo cha laboratory technician mwenye degree, mshahara unaanzia shingapi?
  4. deliverance man

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa kozi iitwayo Bachelor of laboratory science and technology

    Write your reply...asante sana kwa ushirikiano
  5. deliverance man

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu Bachelor of technology in laboratory sciences ya DIT

    Bachelor of laboratory science and technology is now available at mbeya University of science and technology ,your warmly welcome............
  6. deliverance man

    JamiiForums Tanzania Batch ya tatu itatoka lini?

    ahaaa walitangaza kwenye vyombo vya habari au, maana mimi sina taarifa yoyote.
  7. deliverance man

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua kuhusu Third Batch ya mkopo wa HESLB

    Jamani kwa anaejua labda, kama kuna Third Batch ya mikopo kutoka HESLB maana naona hakuna taarifa yoyote. Kama unajua lolote naomba tujuzane inatoka lini?
  8. deliverance man

    JamiiForums Tanzania Mwambie mdogo wako anaenda shule kusomea taaluma sio kazi, anaweza kusoma uhasibu akawa dobi

    Nimekuekewa Sana Tuu, Shukran Mkuu Kwa Ushauri Mzuri.
  9. deliverance man

    JamiiForums Tanzania HESLB vipi kuhusu batch two mliyoahidi?

    Yaani hawa loan boad hawako sereous na ratiba zao sio kama tcu, wanakutajia tarehe ukifika muda waliosema unakuta hakuna walichofanya. walisema before tar 25 watatoa lakini mpaka saivi hakuna kitu.
  10. deliverance man

    JamiiForums Tanzania Takribani wanafunzi 1,129 wame-disco UDSM na wengine zaidi ya 7,000 wanatakiwa kurudia mitihani yao

    Dah Mkuu ivi kweli waliosoma shule za kayumba ndo unahisi wanaongoza kwa kudisco, me sikubaliani na wewe....
  11. deliverance man

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    Dah Mungu atende muujiza, yaani .....
  12. deliverance man

    JamiiForums Tanzania Wote mtapata, pitia draft ya kwanza hapa

    dah pole sana ndugu yangu, hata mimi nimesoma shule za kata kuanzia form one hadi six na nilidahiliwa chuoni round ya kwanza, na kwa waliokosea maombi ya mkopo simo, lakini first batch nimekosa. tuwe na subira tu ndugu...
  13. deliverance man

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    jaribu kunichekia namba hii S1873.0171.2016
  14. deliverance man

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    Mbona majina siyaoni mkuu?
Back
Top Bottom