Recent content by Dejavu

  1. Dejavu

    Kelvin Yondani : The Living Legend

    Yondani mchezaji pekee alieuza Kiwanja kabla hajakiona wala hajakabidhiwa na Magufuli. Mpira anaujua, bangi anazijua. Na kisukuma anakijua. Living legend Yondani. Mwabeja sana.
  2. Dejavu

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Huku ndiko unapamudu kwenye uchawi, kuroga na manyanga, tafadhali usizungumzie digital financial system utaadhirika tu mkuu. Ile inahitaji financial analyst. Stay in your lane mkuu. Asante.
  3. Dejavu

    Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanamtoa baru wapi? Ahahahaha.
  4. Dejavu

    Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi

    Huku ndiko unapamudu kwenye uchawi, kuroga na manyanga, tafadhali usizungumzie digital financial system utaadhirika tu mkuu. Ile inahitaji financial analyst. Asante.
  5. Dejavu

    Who owns bongo trap music game..

    Wasukuma tumepanda bei... Magufuli alicheka sana alipoisikia hii trap rap. Ila Dogo anajua saana.
  6. Dejavu

    Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Bob yule CEO wa Kenya na yeye alijua kuwa atakufa next month akawaomba safaricom wachague successor wa kurithi Kazi yake mapema na kweli akafa fasta.
  7. Dejavu

    Who owns bongo trap music game..

    Nkunda Star
  8. Dejavu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ahahahaha!! Sio unaa mkuu. Nilijua tu leo ntalipwa na huyu kanji kutokana na mechi za leo zilivyokaa. Pole mkuu.
  9. Dejavu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndio maana nimelipwa hela niliyo withdraw tangu Jana bila mafanikio. Leo nilijua kanji atarudisha hela zake Jana tumemfumua balaa.
  10. Dejavu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo ni siku mbaya saana ya kubet leo ndio siku Mhindi anachukua hela zake. Tuwe makini.
  11. Dejavu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    AFCON ni hiiviii [emoji91][emoji91][emoji91]
  12. Dejavu

    2019 Africa Cup of Nations Special Thread

    Mods futa huu Uzi wa kipumbavu. Moderator
  13. Dejavu

    2019 Africa Cup of Nations Special Thread

    Kichwa cha mwendawazimu
Back
Top Bottom