Recent content by deitrich

  1. D

    Kwanini wanawake waliotendwa wanapenda kusali?

    Wengine tumekua tukisali tangu nimepata akili ya kuelewa mambo tena kuanzia primary huko. Hiyo research haipo general ila ni heri wamtafute Mungu kuliko kuendelea kubahatisha na kuendelea kuumizwa
  2. D

    Mungu anipe nini, ni furaha iliyoje kumpata mke mwema wa ujana wangu

    Lifehacker ua unique among many. Wth that attitute mtafika mbali sana na kwa sababu pia mnatanguliza Mungu. Kuna mtumishi alisemaga the same reasons/challenges zinazowafanya watu waachane kwenye ndoa are the same reasons zinazofanya ndoa nyingine kuwa stronger na ku raise above challenges...
  3. D

    Is he worth a second chance?

    Kuna mhubiri mmoja wa marekani anaitwa TD Jakes huwa anasema when people walk away from you let them go, if they were meant to be with you, they would have continued to be with you. Let the bygines be bygones. Funga huo ukurasa na usonge mbele. Zaidi sana muombe Mungu akupe hekima. Ndo maana...
  4. D

    Nimenunua gari kaniacha

    Just recognize she ws a chapter in ua lyf not the whole book. That which is meant to stay, will never leave. Move on.
Back
Top Bottom