Recent content by Degelavita

  1. D

    mwenye elimu ya muziki naomba msaada

    Sijui unataka kujua kiasi gani. Kama unataka kuwa mtaalam kiasi au kamili nakushauri uende kwenye baraza la muziki Tanzania pale utapata waalimu kufikia hatua unayotaka. Zamani kuna mahali walikuwa wanaita Music Consevatoire of Tanzania ilikuwa ghorofa ya juu ofisi za Boti zakwenda Zanzibar...
  2. D

    Nani huwazalisha wanawake vichaa?

    Mtu ukipiga kilaji vizuri mpaka ukapendeza hata mlemavu wa akili akiwa anacheza unamwona ka Beyonce
  3. D

    Mkasi Masoud masoud

    Shukrani ajab:smile-big:
  4. D

    Mkasi Masoud masoud

    Nomba mwenye link kuniwezesha kuona mahojiano kwenye kipindi cha Mkasi alipohojiwa mtangazaji mkongwe Masoud Masoud.
  5. D

    CRDB Sim Banking haipo salama

    Kama ni tatizo la ki benki wafuate wahusika walione, walitatue na ni kwa faida ya wote hata kama pesa yako imeibiwa nenda wataangalia na kukurudishia, ukishindwa unaweza hata kuwasiliana na mkurugenzi mkuu atalitatua mwenyewe, jamaa ni mchapa kazi haswa. HUku kwenye JF hakuna msaada mzuri kama...
  6. D

    Neno "KAMBI YA UPINZANI" LIFUTWE badala yake tutumie "KAMBI YA UTETEZI".

    Muda mrefu sijasoma kitu chenye akili kama hichi
  7. D

    Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya Spain.

    Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya nchini Hispania. Kwa haraka kabisa naona dawa nyingi ziko nchini ukizingatia ndiyo ulikuwa uchochoro wa kuzivushia nchi nyingine, wahusika wako kwenye harakati ya kuzitoa maana wamesha zinunua kwa bei mbaya hivyo watatafuta kila namna mtu atoke nazo...
  8. D

    Mwanafunzi wa shule ya msingi auwawa huko Makambako kwa viboko vya Mwalimu!!

    Tutabaki kuongea mengi maana ni jambo baya, labda sasa tuangalie upande mwingine ni kuwa Watanzania wengi ni wakatili wanafanya vitu vya ajabu kwa watoto na hata watu wazima. Nionavyo mimi kuna mapungufu kwenye elimu tunayopewa mashuleni. Tunafundishwa mahesabu, jiografia na mengineyo lakini...
  9. D

Back
Top Bottom