Recent content by def_xcode

  1. D

    JamiiForums Tanzania Namtambulisha Msanii wangu wa AI-Dianah Mwimbaji waa R&B za Kiswahili, nimeweka parts za cover za nyimbo zake

    Hizo video sio za AI zimetengenezwa na stock videos
  2. D

    JamiiForums Tanzania Namtambulisha Msanii wangu wa AI-Dianah. Mwimbaji waa R&B za Kiswahili... Hapa nimeweka parts za cover za nyimbo zake.

    Sweet - Nandy Cover Ukimwona - Diamond cover Kivuruge - Nandy Cover Siachane nawe - Baraka Cover
  3. D

    JamiiForums Tanzania Namtambulisha Msanii wangu wa AI-Dianah Mwimbaji waa R&B za Kiswahili, nimeweka parts za cover za nyimbo zake

    Sweet - Nandy Cover Ukimwona - Diamond cover Kivuruge - Nandy Cover Siachane nawe - Baraka Cover
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kivuruge-nandy remix made by AI hata Nandy haoni ndani

    Ukiisha ntaupandisha mkuu ngoja ninunue credit kwanza za kumalizia
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kivuruge-nandy remix made by AI hata Nandy haoni ndani

    sikiliza hiki kipande kifupi kisha toa maoni yako.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kivuruge-nandy remix made by AI hata Nandy haoni ndani

    Sikiliza kionjo tu cha dakika moja kisha toa maoni.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Naona Trump anaigeuza Marekani kuwa kama Ujerumani enzi za Hitler

    Mkuu si mbabe wa maneno tu, anawashughulikia, wanafutwa kazi, wanakamatwa. Sasa hivi katika utawala wa trump unaweeza kuwa una green card ikawa cancelled kwa post yako tu. Watu wamepoteza uhalali wa kuishi Marekani kwa post zao za kuonyesha wako upande mwingine. Kila suala huanza taratibu na...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Naona Trump anaigeuza Marekani kuwa kama Ujerumani enzi za Hitler

    Shida ni double standards, kuna kiongozi wa demo aliuawa na wao akina trump walikuwa wanashangilia tu na yeye trump anajifanya hamjui. Na hao watu wengi ambao wanadai walishangilia, ukweli ni kwamba walikuwa wanashangilia kwa kupost yale mabaya aliyoyasema. Yani walikuwa wanaweka clip za...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Pre-mature ejaculation inanitesa wakuu naombeni ushauri wenu

    Fanya zaidi mazoeezi ya kutembea kwa muda mrefu mkuu huwa yanasaidia. tembea hata kilomita nane kila siku.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Naona Trump anaigeuza Marekani kuwa kama Ujerumani enzi za Hitler

    Siasa za Marekani zimegeuka na kuwa kama za Afrika ndani ya muda mfupi. Bw. Trump kila ambaye anapingana naye basi anakuwa mbaya na waliomzunguka sharti kumsifia tu kama machawa. Siasa zimekuwa ni kuwatuhumu Demos ambao wengi wanakuwa referred kama the lefts na kila baya anawatuhumu wao Zamani...
  11. D

    JamiiForums Tanzania CRDB ni benki ya kuogopa kama ukoma

    Mkuu kuna watu wanalipa kwa swift tu otherwise ningelipwa kwa wise
  12. D

    JamiiForums Tanzania CRDB ni benki ya kuogopa kama ukoma

    Hata kwenye website yao wameweka rate hiyo
  13. D

    JamiiForums Tanzania CRDB ni benki ya kuogopa kama ukoma

    Wakuu kesho nafunga akaunti yangu ya CRDB aisee hii benki ima wizi wa kiwango cha standard gauge. Wiki iliyopita kuna mtu alinitumia USD 206 kwenye akaunti iliongia 406000 nikaona rate ndogo lakini nikahisi labda kuna makato sikufuatilia. Leo nometumiwa $2850 wallah nimepokea msg kwenye akauti...
  14. D

    JamiiForums Tanzania DSTV Tanzania vipindi vya hovyo kila package, sinema za kurudia rudia kila siku! Mnachofanya ni utapeli. TCCRA hamuoni udanganyifu huu?

    Nimeacha lipia dstv toka mwezi wa nne rasmi ni bora nilipie tu internet nichague cha kutazama.
Back
Top Bottom