Unapokosoa, kosoa kwa ufasaha!! Umerudia makosa yaleyale. Hata wewe pia umetumia lugha ya mikopo!! Ungetumia na wewe lugha moja kunikosoa.
Pia, ulipaswa kutilia maanani hoja niliyoitoa, lakini kwakuwa huna hoja za msingi, ndiomaana umeishia kutapatapa na kulamba matapishi!!
"Narrow mind, discuss People. Great mind discuss the Idea"
A person (Mnyaa) raised the question which Ideally was about Human Rights which are well known and recognized in the entire world.
Unfortunatelly, Werema attacked and discussed about the person (Mnyaa) by being a Zanzibarian, INSTEAD...
Kauli kama hii tena kutoka kwa kiongozi mwenye wadhifa mkubwa kama huu ktk muhimili wa 3 wa serikali haileti taswira chanya ktk muungano huu. Hakupaswa kutoa kauli kali na yenye maudhi kama hiyo, hasa ukizingatia kuwa bado taifa lipo katika wingu zitu kuhusu muundo wa serikali za muungano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.