Recent content by Deemaks

  1. Deemaks

    Bei ya chakula na ukumbi wa sherehe hoteli ya Kilimanjaro Kempiski

    Kwenye mambo ya ukumbi hapo Hyatt Regency , The Kilimanjaro.....sina bei zake kwakweli
  2. Deemaks

    Bei ya chakula na ukumbi wa sherehe hoteli ya Kilimanjaro Kempiski

    Bei ya msosi inategemea kiukweli since ni hoteli ya hadhi ya nyota 5 Starters ina range kuanzia 15,000 tshs mpaka 35,000 tshs Main course ina range kuanzia 25,000 mpaka 70,000 (inategemea na chakula agizwa) Glass ya wine ni 19,000 tshs kama sijakosea Soda 4500 tshs Cocktails price range...
  3. Deemaks

    Natafuta mtandao wa kusoma online kwa video

    Sociology Check it out....Sociology field.
  4. Deemaks

    Natafuta mtandao wa kusoma online kwa video

    Field gani to be specific.
  5. Deemaks

    Kanye west amshirikisha rapper mtanzania kwenye ngoma mpya ‘all day’, atumbuiza naye jana kwenye bri

    Kwa more information ingia kwenye hii link kuhusu Allan Kyariga (Allan Kingdom) AllHipHop » Get Familiar With Rapper Allan Kingdom, The Guest Feature On Kanye West's "All Day"
  6. Deemaks

    Thank You Cocacola I am Humbled !

    Kusema ukweli hapa coca cola wamekosea sana Maaana huku Uingereza sio lazma uwe superstar ama celebrity kupata a can which has your name
  7. Deemaks

    Postal/zip code ya Tanzania ni ipi?

    Kwa ufahamu wangu mimi.......POSTALCODE/POSTCODE inatumika sana kwa wakazi wa United Kingdom na ZIPCODE wana maanisha Area code ama Country code kwahiyo kwa Dar-es-salaam,Tanzania ni +255
Back
Top Bottom