Recent content by Dee1044

  1. Dee1044

    Jongoo akisagwa ni Sumu Inayoua

    Habarini wanaJamii Forum. Nimesikia baadhi ya watu wakisema kwamba jongoo anapokufa halafu akakauka, akisagwa na kuwa unga unga, ule unga watu huutumia kama sumu inayoua taratibu, hata miezi mitatu. Nimepinga hoja hii ila wanaoamini hivyo hawaelewi. Kama inawezekana kuwahusisha wanasayansi...
  2. Dee1044

    JOB SEEK

    Jina langu ni Emmanuel Elisha,highschool graduate nchini Kenya,nina miaka 24.Ninatafuta kazi ya ualimu au private tuition kwa wanafunzi wa sekondari hasa katika somo la kiingereza.Nina uzoefu wa kufundisha tuition.Vile vile,ninavyo vyeti vya Kenya vya kuhakiki taarifa zangu na kuonyesha ufaulu...
Back
Top Bottom