Nimecheka yaani hilo jibu ulivyojibu jmn, lkn kahata yuko sahihi , inawezekana ana ndugu yake, au hata yy lkn bado sijawa official ni dada ake tu[emoji2]
Sio wote, lkn pia kwa nn munamshangaa mwanamke anayeomba pesa, wakati mwanaume yy ni rahisi kuomba ngono. Jf ni km mji wako watu na tabia zao.
Ni process kweli kupata mtu sahihi lkn MUNGU akitaka unapata
Pray more to God ndo point kubwa nimebeba , hayo mengine ni vipaumbele vyangu nisiwe mnafiki, hivi ktk vigezo me nina vigezo hapo[emoji1][emoji1],sijataja kazi ya mtu pia siwezi date na mtu ana miaka 20 am sorry .I need serious relationship sio kucheza
Point , uko sahihi, lkn haohao Wanye miaka 30_50 huko sio Kwamba hajawahi kuwa na strong relationship, kuna vitu vinatokea ktk maisha watu wanatengana.
Then wapo wanaume wengi tu wako above 30 lkn wanategemea wanawake ndio maana tunaweka hiyo point ili aliye serious ndo asogee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.