Recent content by dedy

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi aje kuwa mke

    yaaan umegoma hadi nimeogopa.
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Feedback ya kumtafuta mchumba

    Mamboz, Nilitumaga ombi la kumtafuta mchumba humu JF muda mrefu kidogo, kwa experience niliyoipata wanaume wengi hawako serious. Yaani wanatuona sisi wasichana tunaoandika huu Uzi basi ni hajatulia hivi, au tu wabaya hata hatutongozwi, lakini huo mtazamo sio sahihi. Tunajitambua, ni vile tu...
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba na hatimaye mke mwishoni.

    Kuzaliwa pwani nimekosa mume
  4. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Hi mamboz Naomba kupata connection,na ujuzi kuhusiana na biashara hii ya nguo za mitumba. Ni nguo gani rahisi kutoka kwa haraka,na naomba kupata connection za watu wanaouza kwa balo. Ahsateni.
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba, nimechoka upweke

    Kotekote inawezekana naomba MUNGU. Popote akipatikana sifa na utukufu ni kwake. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba, nimechoka upweke

    Habari zanu wapendwa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni binti mwenye 28 yrs, elimu yangu ni Diploma, ni Mjasiliamali, naishi mkoa wa Mtwara, mkristo, Situmii kilevi, sina mtoto. Uzito wangu ni kg60 Vigezo vya ninayemuhitaji: > Awe mkristo > Elimu yake akinizidi mimi hapo itakuwa...
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume Mkristu

    Tutajaza Uzi tu humu,
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume Mkristu

    Ukimpata zaidi ya mmoja wenye sifa hizo nirushie Mimi mmoja mwaya maana umenisemea na mimi.
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa

    MUNGU NDO ANAJUA
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa

    Umenitia moyo ahsante
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Karibu kwangu mke mwema

    Ili akupasie[emoji23][emoji23][emoji23] mtaani kwako na ww hujawaona? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa

    Mume upo JF kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa mwaka huu

    Morogoro kuna nini lkn mbona munatafuta Sana wanawake jf. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa

    Sent using Jamii Forums mobile app
  15. D

    JamiiForums Tanzania Utunzaji wa nywele za asili

    Niliwahi kusikiaga bia,na sijafanya hivyo leo nasikia soda duh, soda gani hiyo?
Back
Top Bottom