Hapa kuna jambo ni lazima litazamwe. Chuo kiliidhinishiwa na chombo halali kuendesha kozi husika, wazazi/walezi tumepeleka watoto wetu baada ya kuona kozi imepitishwa na chombo husika(TCU), TUMELIPA ADA kwa miaka zaidi ya, miwili na hawa watoto wamepoteza muda wote huo wa miaka miwili na zaidi...
jaman kabla ya kuchangia hebu tudadisi basi wanachofanya na nchi nyingine. Cash transfer haijaanzia tanzania, nchi za Latin America na Asia Conditional Cash Transfer ni mpango umesaidia kujenga human capital! Mbona siku kupata taarifa ni rahisi hebu google tu conditional cash transfer upate...
Sidhani kama mtu wa namna ya prof. Ndulu kujenga nyumba ni justification ya kumfanya awe fisadi nadhani mtoa mada angetwambia pia kipato cha prof. ktk sehemu zote ambazo aliajiriwa vinginevyo mada imejaa majungu tu.
Mkuu naomba na mimi nichangie japo kidogo kuhusu mjadala huu. Mimi binafsi sidhani kama kipaumbele cha kwanza cha dr/prof./ mh. waziri katika kutatua kuboresha elimu yetu ni kuondoa mfumo wa GPA kwenda kwenye division ama kinyume chake. Aidha sioni hekima katika kuendesha masuala ya umma kwa...
shida ya viongozi wetu ni wazuri kuongelea mapungufu hususani yaliyofanywa na watangulizi wao badala ya kutafuta suluhu ya hayo mapungufu. Kwamfano prof. Ndalichako angetumia muda mwingi kutafuta majibu ya changamoto zilizopo kwenye sekta ya elimu kuliko kutumia muda mwingi kulaumu. Nadhani huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.