Recent content by Deborahmiho

  1. D

    JamiiForums Tanzania Dewji: Ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi MeTL

    Hivi Watu wa maabara wanalipwaje hapo kwa mo
  2. D

    JamiiForums Tanzania Dewji: Ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi MeTL

    Watu wa laboratory technician wanalipwaje?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Application Ajira portal

    Mkonga?? Unaamanisha system ndugu?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Application Ajira portal

    Sijakuelewa maana yake nini backbone
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Application Ajira portal

    Natumia computer
  6. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepoteza cheti cha form six

    Asante tayari pia nishatuma
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepoteza cheti cha form six

    Habari ndugu zangu,wakubwa shikamoo! Nimepotelewa na cheti changu cha FORM SIX , Jumatano ya tarehe 13/12/2023 maeneo ya POSTA mjini MBEYA. Jina : DEBORA CHARLES MIHO Shule niliomaliza form six : PANDAHILL SECONDARY SCHOOL Namba ya simu : VODA: 0752321681 AIRTEL : 0695600497 Tafadhari atakae...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    1.Ndugu yangu je ni lazima kuweka hio barua ajira portal .. 2.kama ni lazima unaweza nionyeshq mfano upoje au heading /title ya barua
  9. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Application Ajira portal

    Habari ndugu , Nahitaji msaada wenu...ajira portal kila nikijaribu kusubmit yaani kuclick ile tick kwenye declaration inakataa yani HAITICK nashndwa kusubmit CV je changamoto itakuwa ni nini nakosea wapi?? Nahitaji msaada Asante.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Habari ndugu, Mimi nimejaribu kubook training lakini inakataa inaonekana wameanza 1-Dec 2013 mpka 30-Dec-2023.... Je sijajuwa inakataa kwasababu gani nahitaji msaada ...maaana ndio nimetoka kufungua account
Back
Top Bottom