Recent content by debless

  1. debless

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mchaichai(Lemon Grass): Utaalamu, Masoko na changamoto zake

    Tuwasubiri waje
  2. debless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kama huna hela huwezi dumu na mwanamke

    Wanawake ni wengi sanaa, wanaume tuko wachache sana hasa sisi marijali. Maana na wengine wamekuwa mashoga. Kwahiyo wanawake kuweni makini sisi ni dhahabu ukipendwa na mwanaume rijali kaa tulia mtafute pesa
  3. debless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasikia wavuvi wanafaidi sana hiki kiumbe

    Hakuna samaki huyo nguva wa kiume ?
  4. debless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAARIFA - Mlinzi wa shule ya Scolastica kunyongwa hadi kufa!

    Daa aisee
  5. debless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau naomba kuuliza jina "Bright" nilakike au la kiume ?

    Sasa wadau hili jina hapa Tanzania linatumika kwa jinsia ipi
  6. debless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau naomba kuuliza jina "Bright" nilakike au la kiume ?

    Duu
  7. debless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau naomba kuuliza jina "Bright" nilakike au la kiume ?

    Shukrani mkuu ,sasa sijui kwanini wengine wanasema ni lakike
  8. debless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau naomba kuuliza jina "Bright" nilakike au la kiume ?

    Daa ,shukrani kwa mawazo mkuu
  9. debless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau naomba kuuliza jina "Bright" nilakike au la kiume ?

    Mkuu msaada wako wa mawazo nauhitaji sana pia
  10. debless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau naomba kuuliza jina "Bright" nilakike au la kiume ?

    Bright au brightness mkuu ?
  11. debless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau naomba kuuliza jina "Bright" nilakike au la kiume ?

    Shukrani mkuu kwa ushauri ,ila mimi nataka kujua kuhusu Bright tu .Yani sitaki kuongeza kingine
  12. debless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau naomba kuuliza jina "Bright" nilakike au la kiume ?

    Wewe ni mtu wapili unaniambia japo wengi wanasema la kiume
  13. debless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau naomba kuuliza jina "Bright" nilakike au la kiume ?

    Duu ,aisee
  14. debless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau naomba kuuliza jina "Bright" nilakike au la kiume ?

    Habari za usiku wanajamvi !!!! kama kichwa kinavyo jieleza . Mimi debless nimewaza sanaa juu ya jina zuri la kumpa mtoto wa kiume .Nikajikuta na Jina hili "Bright " kichwani mwangu .Sasa nataka kujua jina hili huku kwetu(Africa) linatumika kwa jinsia gani ? Karibuni wadau mnisaidie juu ya hili...
  15. debless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichokiona jana usiku

    Jambo lingine ni huyo mtoto ni wakijana kweli? Inawezekana ni wa huyo mzee
Back
Top Bottom