Kipindi cha kijinga sana,jamaa wako sharo sana full kuropoka vitu vingine hawavijui kabisa
Hao jamaa hawana weledi hata kidogo,na kile kidada kiropokaji.
Nauza nokia xl iko in excellent condition with all its accessories
screen size of 5'inches with 3g network, dual sim, cpu of 1ghz ,and ram of 768mb
camera of 5mp & 2mp respectively
iko compatible na whatsapp
simu iko poa sana
price ni 310,000/=
contact:0752076810
Kaka mbona nimejitahidi sana kuelezea kilichotokea jana na huu mtandao feki wa tigo walitukatia huduma ya mawasiliano ya intaneti kuanzia saa 7 mpaka saa 5 usiku pasipo kutoka taarifa yeyote,matokeo yake watu wakakorokochoa simu zao wakijua ni tatizo la simu.
Niko Mwanza mtandao wa internet umekata zaidi ya saa moja sasa sipati network bila taarifa yeyote,hawajui ni jinsi gani inatu affect watumiaji ,TCRA wamekaa kimya, cost ziko juu huduma mbovu.
Tafadhari jirekebisheni acheni ubabaishaji Tigo
Pole sana kiongozi,kampuni nyingine za wahuni ni princess muro,luck star, bestline na super najimunisa kwa route ya dar-mwanza usilogwe kukata ticket hapo,asubuhi utalia machozi ukifika ubungo. Kwa sasa the best company ni new force wako very smart n bus zao mwendo mdundo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.