Recent content by De Rama Msirikale

  1. De Rama Msirikale

    SoC04 Matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii na vyombo vya mawasiliano kuhamasisha kuleta maendeleo nchini kwa miaka 5 hadi 25 ijayo

    **Makala: Matumizi Sahihi ya Mitandao ya Utangulizi Katika dunia ya leo, mitandao ya kijamii na vyombo vya mawasiliano vinachukua nafasi muhimu sana katika kuendesha mabadiliko ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Tanzania, kama sehemu ya jamii ya kimataifa, ina nafasi kubwa ya kutumia vyema...
  2. De Rama Msirikale

    SoC04 How to combat corruption issues during general election to get better governance in the next 5 to 10 years

    Exactly it's true as if law ammendment would applied as explained in details
  3. De Rama Msirikale

    SoC04 Matumizi sahihi ya ukuaji wa teknolojia na mawasiliano ili kukuza pato la uchumi kwa wananchi miaka 5 hadi 10 ijayo

    Ulipiga vyenga mithili ya Legendary Lionel Messi akiwa na mpira kwenye frontline huku akitama lango likipo. Shukrani sana mkuu kwa kutoa tabasamu lako
  4. De Rama Msirikale

    SoC04 How to combat corruption issues during general election to get better governance in the next 5 to 10 years

    How to Eliminate Corruption During General Elections in Tanzania for Better Governance in the Next Five Years In the vibrant nation of Tanzania, the drumbeat of democracy has long been intertwined with the lingering specter of corruption. As the nation looks ahead to the next five to ten years...
  5. De Rama Msirikale

    SoC04 Matumizi sahihi ya ukuaji wa teknolojia na mawasiliano ili kukuza pato la uchumi kwa wananchi miaka 5 hadi 10 ijayo

    Matumizi Sahihi ya Ukuaji wa Teknolojia Duniani: Njia ya Kuinua Uchumi wa Mtanzania kwa Miaka 5 hadi 10 Ijayo Katika ulimwengu wa leo unaobadilika kwa kasi kutokana na maendeleo ya teknolojia, Tanzania ipo katika nafasi ya kipekee ya kutumia ukuaji huu kuboresha uchumi wake. Hapa chini ni...
  6. De Rama Msirikale

    Naomba uzoefu wa kuanzisha Non-Profit Organization

    Habarini wakuu na poleni kwa majukumu. Naomba kwa walio na uzoefu wa kuanzisha NGO,s kama hizi non-profit organization masuala ya wanawake, watoto, vijana na vikundi ili kuleta impact kwa jamii upande wa uchumi na kuleta fursa ya kazi
  7. De Rama Msirikale

    Naweza Kupokeaje bidhaa toka USA?

    Nime info's zao nifanye mawasiliano yako mkuu
  8. De Rama Msirikale

    Naweza Kupokeaje bidhaa toka USA?

    No ni tz wa uraia wa USA pia
  9. De Rama Msirikale

    Naweza Kupokeaje bidhaa toka USA?

    Haha ni jamaa Aliendaga kitambo huko anafanya mishe mishe zake tu za maisha fresh...sasa last month akasema nataka nikutumie zawadi nkamwambia now niko busy fanya mwezi juni sasa ndio kanambia inshu ya kutuma ni ghari nikamwambia wait niulize ntakucheki...maybe kuna best way yakutuma na kupokea...
  10. De Rama Msirikale

    Ukiwa na pesa ya kigeni ambayo muda wake umeishapita kimatumizi, naweza ipeleka mahali gani niweze itumia katika kurefund thamani yake!

    mkuu123 endapo fedha zingine sio za ki dollar nspo hutoa huduma pia kana safari ya kimarekani,yaani Chinese currency, UAE Na hata za ndani ya bara la Afrika kwacha ya Zambia, na medicals ya Mozambique watachukua kutokana na uzoefu wako
  11. De Rama Msirikale

    Naweza Kupokeaje bidhaa toka USA?

    Habari wana jamii forums. Nipo na rafiki yangu yupo USA,mji wa califonia anahitaji kunitumis zawadi huku nchini Tanzania, anadai gharama za tozo ni kubwa nchini kwao kuja afrika as parcel ,msaada nifanyeje ili ni mshauri inifikie zawadi yangu ni digital portable computer na simu kwa wenye...
  12. De Rama Msirikale

    Msaada: Kufungua Akaunti ya Facebook

    Nilikuwa na account yangu ya Facebook nimeiunganisha na page yangu, kuna kupindi nikapoteza device niliyokuwa natumia hivyo nikasahau password yangu na hata namba niliyofungulia kwa usajiti wa account hiyo imeshapotea. Nipo hapa jukwaani ili kuomba msada wa kurecover acc yangu kwa wabobezi wa...
Back
Top Bottom