Recent content by De Rabbits slick

  1. De Rabbits slick

    Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Upo sahihi kabisa biashara nzuri ni ile inayotokana na hobbie yako na kile unachokipenda kwa 100% hapo utaifanya kwa moyo na upendo na itadumu na itasonga mbele halikadhalika itakuletea mafanikio hata ikiwa kwa kuchelewa kidogo
  2. De Rabbits slick

    Sasa ninaelewa kwanini watu hufikia hatua ya kujitoa uhai

    Sure umeongea maneno ya msingi sana na yenye kugusa sana hakika tupaswa kuishi kwa upendo kwa kusaidiana kuna watu wamekataa tamaa bs tuwe faraja kwao japo nao wajione binadamu. Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
  3. De Rabbits slick

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Ni kweli unachokisema but huwez chukulia ndivyo ilivyo kwann wengine wanasoma na wanapata ajira japo kweli shida ipo. Kwa sasa kiukweli mfumo wa ajira umekuwa wa kiubinafs sana kwa kweli bila kuwa na kujuana flan bs n mtihan kupata kazi hiyo inajulikana. Wacha sie tuendeleze uzi wetu wa...
  4. De Rabbits slick

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Ingia ajira Portal wametoa ajira nyingi sana kiukweli ukituma maombi huwezi kosa bahatika hata sehemu moja tuma uwezavyo
  5. De Rabbits slick

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Shukran sana ni wakati wa kuchangamkia fursa sas
  6. De Rabbits slick

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Na kama sijakosea unamaanisha kiwanda cha Maji ya Afya bila shaka.[emoji2369]
  7. De Rabbits slick

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Kinapatikana kisarawe ndugu kwa maswala ya ajira sijafahamu sana ila wajuzi watakuja kutujuza zaidi
  8. De Rabbits slick

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Anasubir majibu ndugu yetu
  9. De Rabbits slick

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Kama mtaji bhas usile iwekee mazingira ili ikupe matunda mazuri kiongoz
  10. De Rabbits slick

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Ni mpharmacia anadiploma ya pharmacy anaomba mchongo wa ajira ndugu zangu Tupeane michongo. Tupeane michongi
  11. De Rabbits slick

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Tuchangamkie Fursa
  12. De Rabbits slick

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Shukran sana Ndugu zangu fursa ndio hizi tungamkie
  13. De Rabbits slick

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    KUMBUKA SIO KILA ANAETANGULIA ANAFIKA MAPEMA BHALI NI KUWA MWAKILISHI WA KUIANZA SAFARI MAPEMA HIVYO USIDHARAU WALICHELEWA KUPATA RIDHKI. Tuendelee kusaidiana. TUPEANE MICHONGO TUPEANE MICHONGO TUPEANE MICHONGO
  14. De Rabbits slick

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Shukran sana nyote Tuendelee kupeana michongo
  15. De Rabbits slick

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    TUPEANE MICHONGO TUPEANE MICHONGO
Back
Top Bottom