Recent content by De Opera

  1. De Opera

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha Ofisi ya Betting

    Sawa mkuu!
  2. De Opera

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha Ofisi ya Betting

    Sawa mkuu, nashukuru sana!
  3. De Opera

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha Ofisi ya Betting

    :D:D Mkuu, najua na wewe utakula hasa ukija kuweka mkeka kwangu pindi nikikamilisha hii. Ahsante sana mkuu. Maana ninahisi mlolongo mrefu, usajili, kibali, zile mashine za kufyatua mikeka, na mashine za kufyatua lists za mechi mbalimbali.
  4. De Opera

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha Ofisi ya Betting

    Wakuu, heri ya xmass na mwaka mpya? Natumaini mnaendelea vizuri! Naomba kwa anayeweza kufahamu namna ninaweza kuanzisha ofisi ya betting, kama wakala au inakuaje. Sina ufahamu kuhusu hii. Nipitie wapi, nahitaji nini, vigezo, na mambo mengine yanayoweza kunifanya nikamilishe hii. Ninayo frem...
  5. De Opera

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa JF hadi leo ni Mwendelezo wa Ukandamizaji wa uhuru wa kutoa maoni na ni kinyume cha sheria

    Nimejaribu kuingia kwa chrome na Microsoft edge browser, mambo yakagoma. Imebidi nitumie nanilii...
  6. De Opera

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Maria Sarungi wapelekwe ICC

    Ni sahihi mkuu. Lakini, ni nani alipaswa kuwafundisha watu/wananchi ambao wamechanganyika. Asilimia kubwa ni wasio na elimu. Ule muda wa kuwashambulia, kwanini wasingeitwa na vyombo husika wakaulizwa, mnasemaje? Piteni njia hizi. Kwani wangegoma? Niseme tu kwamba, kilichokosekana ni ' right...
  7. De Opera

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Maria Sarungi wapelekwe ICC

    Kila mtu katumika kwa nafasi yake. Huyu katuma na yule katuma. Huyu katuma kuponya, yule katuma kuangamiza. Kilicho muhimu, shangilia kwa sababu una muda wa kushangilia. ✍🏾 Safari bado ni ndefu, na sote hatujafika bado. Usishangilie kifo hata kama aliyeuawa ni mwizi. Ni pigo hasa kama maiti...
  8. De Opera

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nawahakikishieni Watanzania Wenzangu Rais Samia Hatawaangusha Wala kuwakatisha Tamaa

    Mkuu, Mungu ndiye mwenye jicho, sisi hatuoni! 😢 Mshukuru Mungu kwa sababu una muda wa kushangilia.
  9. De Opera

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nawahakikishieni Watanzania Wenzangu Rais Samia Hatawaangusha Wala kuwakatisha Tamaa

    Mkuu, Mungu ndiye mwenye jicho, sisi hatuoni! 😢
  10. De Opera

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya JW imeandikwa kwa kalamu ya chuma

    Hii dunia kusimama kwenye haki, ni mpaka kila mtu ashibe lakini kama itaendelea njaa baasi kila mtu atahofia kuukosa ugali wake. Njaa inaweza ikakufanya ukasahau kuwa wewe ndiye mwenye pesa ya kununua unga, ukabaki kupiga goti kwa mtu anayekupa biscuit ambayo huwezi kushiba.
  11. De Opera

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tunatokaje? Huu utakuwa uzi maalum. Mihemko tuweke pembeni. Ila ukweli na suluhu tusiviache

    Ni neno moja tu limekosekana ambalo limeibeba amani ya watanzania. Na neno hilo analo yeye mmoja tu. Ila ni hadi uwe na hofu ya Mungu ndani yako.
  12. De Opera

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri kwa CCM, itisheni kwa haraka Mazishi ya Kitaifa. Mtanikumbuka

    Mtaa gani mkuu?
  13. De Opera

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani hapa Afrika naweza kwenda kuishi kwa amani?

    Hawawezi kunifata kama sijawafata au kuwaita.
  14. De Opera

    JamiiForums Tanzania Shida haina hodi, mwenzenu nimefika mwisho, naombeni msaada

    Pole sana ndugu, ninahisi maumivu yako, ila usikate tamaa. Sikiliza wimbo huu... https://youtu.be/3R8dmm7M4Es?si=luMz-__tynhrFb1k
  15. De Opera

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tanzania wametupwa ununio, wakivuja damu baada ya kupigwa kikatili na polisi kwa kwenda mahakamani. angalia video mwenyewe

    Wangebaki kutafuta ridhiki kwa ajili ya familia zao, wasingevuja damu.
Back
Top Bottom